Diamond am-diss Bob Junior Live KTMA

Tunaacha kuzungumzia ROMA mkatoli, tunajadili wabana pua hawana inshu bana. Kwanza d'mond hana sura ya uwamziki, anapendezea akiwa mpaka rang kucha za madu au muuza vyombo mtaani. Wabanapua wenyewe wali wa shekhe, kwishneeeeeeiiiiiiii.
Pokea LIKE,
Sio siri ROMA Mkatoloki ni kichwa na anajua cha kuandika na kuimba pia,
Mungu na ampe maisha marefu na kumlinda na wenye roho za kwann wanaoguswa na tungo zake.
 
Huyo dogo mshamba unatoka tandale unakwenda kuishi Masaki unategemea nini hapo uilmbukeni lazima uwepo wa kufa mtu
 
Time yake kwanini nisimpe mashavu!taja takataka yeyote ya bongo flava anayeshine kama platinumz!!!juzi kadhihirisha umwamba wake mpaka katika vidudu mtoni!.....guess nani ndo mjanja wake katika uvaaji.....the man himself PHD!

hivi PHD yuko wapi siku izi jamani?
 
80% ya wabongo wakija juwa kuwa hizo bifu za hawa wasanii wao ni za kupanga ili waweze kuandikwa ktk magazeti ya udaku na kurushwa kila kukicha ktk redio zao zile za tende halua nadhani watakuwa wamepiga hatua kuubwa mno za kuelekea ktk mabadiliko ya kweli.

Huyo bob Junior ni Gagulo na huyo Diamond ni Sidiria.
Hawana bifu wala nini ila kinachofanyika hapo ni kujaribu kuwateka wabongo wawe wanafuatilia hizo porojo zao.

Kwa mfano ile bifu ya WEMA na Diamond.
kwa mwelewa atagundua kuwa hapakuwa na lolote wala chochote, Wema na Diamond ni marafiki wa kawaida tu na hapakuwa na uchumba wala ushuzi.
Kufanya vile kumepellekea Diamond awe juu kwa kipindi choote tangu kuanza kwa vurumai zao.
Tumeshuhudia pia akitoa nyimbo zinazomuelezea yule mpuuzi mwenzie, so hii inawateka wakurupukaji na kisha wanachukulia ujinga ule ni kweli.

Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa Diamond, kwani siku mandondocha yatakapoamka na kugundua kuwa yalikuwa yamelala huku udenda unachuruzika basi hakutakuwa tena na tuzo au nyimbo inayobamba.

nawashauri tu wafuate nyayo za Ally KIBAKA kwani yeye amekuwa ni msanii anayetamba kila siku pasipokuwa na skendo au controvesy yoyote ile.

Heshima kwako Ally Kiba...

Huu usakala pia waliwahi kuufanya Kanumba na Ray, then baada ya kuona kuwa jamii husika imeshobokea habari zao ndipo wakatoka na igizo lao lililoitwa Offside.

Ni upumbavu uliomithirika kwa wasanii wa siku hizi.

Manca del testo.

hapo hakuna mwenye akili kama hiyo, labda uwape wewe. Elimu yao na mambo yao ni kama bazoka au maharage ya Mbeya
 
Back
Top Bottom