Diamond am-diss Bob Junior Live KTMA

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,614
68,543
Jana wakati ommy dimplez anapokea tunzo yake,diamond alitoa ushuhuda kwamba mungu mkubwa,yeye ndio aliyevumbua kipaji cha ommy lkn alivyoenda kwa producer kumu-introduce huyo producer(Bob Jr) aksema huyu(ommy) hawezi kabisa,sasa diamond anashangaa huyo aliyesema hawezi ajapata tunzo hata moja,labda pengine diamond analipiza dongo alilopigwa na bob jr wkt akichezesha taya na sam misago kwenye FNL(jana yake) kwamba yeye(diamond) sio rais wa wasafi.

Nawasilisha.
 
ndo akina nani hao? mabondia waliokamatwa Mauritius??
 
Wazush wao, wnatuzngua tu na manymbo yao ya mapenz!Sjui hta kama wnajua kama tpo kwenye mchakato wa katiba...wamekalia 'pamba', 'bling' na 'madem' tu.....

Wote wachaf tu...hamna msaf hta mmoja hapo!
 
Ha ha haaaaa wanausafi gani, huo wimbo bila alikiba si lolote.... Kama wimbo wa lawama shilole na qchilla,qchilla kafunika
 
Platinumz wamuache kwa sasa!next level huyu mnyama....sharo short chasis asilete za kumvimbia huyu mnyama diamond!hawako ligi moja!
 
Wazush wao, wnatuzngua tu na manymbo yao ya mapenz!Sjui hta kama wnajua kama tpo kwenye mchakato wa katiba...wamekalia 'pamba', 'bling' na 'madem' tu.....

Wote wachaf tu...hamna msaf hta mmoja hapo!

Pamba wanazijua hao au wanaiga,halafu akina T.I,DRAKE,KANYE,JAY na MADDAME B,Tusemaje kuhusu ma-bling yetu?
Watupishege huko na viji-nguo vyao vya "viji-boutique" vya uswazzzz! ebo!
 
80% ya wabongo wakija juwa kuwa hizo bifu za hawa wasanii wao ni za kupanga ili waweze kuandikwa ktk magazeti ya udaku na kurushwa kila kukicha ktk redio zao zile za tende halua nadhani watakuwa wamepiga hatua kuubwa mno za kuelekea ktk mabadiliko ya kweli.

Huyo bob Junior ni Gagulo na huyo Diamond ni Sidiria.
Hawana bifu wala nini ila kinachofanyika hapo ni kujaribu kuwateka wabongo wawe wanafuatilia hizo porojo zao.

Kwa mfano ile bifu ya WEMA na Diamond.
kwa mwelewa atagundua kuwa hapakuwa na lolote wala chochote, Wema na Diamond ni marafiki wa kawaida tu na hapakuwa na uchumba wala ushuzi.
Kufanya vile kumepellekea Diamond awe juu kwa kipindi choote tangu kuanza kwa vurumai zao.
Tumeshuhudia pia akitoa nyimbo zinazomuelezea yule mpuuzi mwenzie, so hii inawateka wakurupukaji na kisha wanachukulia ujinga ule ni kweli.

Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa Diamond, kwani siku mandondocha yatakapoamka na kugundua kuwa yalikuwa yamelala huku udenda unachuruzika basi hakutakuwa tena na tuzo au nyimbo inayobamba.

nawashauri tu wafuate nyayo za Ally KIBAKA kwani yeye amekuwa ni msanii anayetamba kila siku pasipokuwa na skendo au controvesy yoyote ile.

Heshima kwako Ally Kiba...

Huu usakala pia waliwahi kuufanya Kanumba na Ray, then baada ya kuona kuwa jamii husika imeshobokea habari zao ndipo wakatoka na igizo lao lililoitwa Offside.

Ni upumbavu uliomithirika kwa wasanii wa siku hizi.

Manca del testo.
 
Pamba wanazijua hao au wanaiga,halafu akina T.I,DRAKE,KANYE,JAY na MADDAME B,Tusemaje kuhusu ma-bling yetu?
Watupishege huko na viji-nguo vyao vya "viji-boutique" vya uswazzzz! ebo!

Sema wewe Andazi, nikisema mimi Kitumbua ntaambiwa nina mafuta na siivi bila kuchomwa chomwa...inahuu?
 
Kuna nyimbo huwa nalazimishwa kuzikubali kwa sababu zinasikika sana redioni japo mwanzo nliziona za kawaida sana...mojawapo ni huo nai nai wa Ali Kiba na Omy dmpoz'
 
Pamba wanazijua hao au wanaiga,halafu akina T.I,DRAKE,KANYE,JAY na MADDAME B,Tusemaje kuhusu ma-bling yetu?
Watupishege huko na viji-nguo vyao vya "viji-boutique" vya uswazzzz! ebo!

Mlisemaga hivihivi kwa Kanumba sasa amekufa ndo mnajidai jamaa alikuwa anawezaaaa. Mfuuuuum
 
Back
Top Bottom