Diamond akataa hela ya Wema stejini...

Diamond ni uswahili unamsumbua. tofauti zao zinahusika vipi kwenye tamasha lake? Wema kamtunza kama shabiki aliyeguswa na nyimbo zake, kama alivyotunzwa na wengine, iweje akatae mbele ya kadamnasi jamani. Kumtoa mtu tandale halafu utegemee atakua kama alokulia Mikocheni na kusoma Laureatte International ni vitu viwili tofauti. Kajidhalilisha yeye wala si Wema.

we mala.ya acha dharau
 
Watu bana....eti Uswahili! Acheni zenu hizo...uswahili ndiyo kitu gani? Na kinyume cha uswahili ni nini? Uzungu? Acheni kushoboka shoboka...hakuna cha uswahili wala nini.
 
Jaribuni san akuangalia mchezo mzima ulivyofanyika , kuanzia Wema , Diamond na Jokate wote ni wajinga kichwani.Wema kwenda kumtunza Diamond kama angepokea angekufa ama?? Na kwa nini alipozikataa Jokate na Sinta waliuwa wanashangilia? Nilikuwa namwona Jokate wa maana lakini wote ni wale wale hamnazo.Kwanza kwa siku ile Wema alikuwa kajishusha na kaonesha ustaarabu sana..Kumbukeni waliokuja pale kunawaliopendezwa na kitendo kile na kuna ambao hawakupendezwa na kile kitendo..Imagine Jokate anafurahia BF wake(DIAMOND) anafomfanyia GF wake wa zamani (WEMA) ukiona mwenzako ananyolewana wewe tia maji . Wanaboa sana mpaka hata show zenyewe mtu hatakuwa haji. Naombeni nyie wadada wawili Jokate na Wema mjirekebishe..Bora Wema anaonesha tabia yake wazi na unaweza hata kumshauri kuliko Jokate ni Silent burner anajifanya mtakatifu. Hukitoa pesa uyo Diamond ni nini kweli?? Ebu nyie wadada tafuteni size zenu
 
kwenye red usirudie tena kutaka kujua hususani pale demu anapopenda!
pia kwa taarifa yako tu si kweli kama diamond ana pesa kama unavyotaka kusema!pia ujue kuhonga ni tabia na diamond hana hiyo tabia na wala uwezo huo wa kushindana kuhonga na wazee wa njaa hapa mjini diamond hana!kuhonga ni kujitolea na diamond hawezi kuwa na uthubutu wa kuhonga gari wala kumkodia demu nyumba ya maana, ana hela zinazomsaidia yeye!kwa hao watoto kina wema na jokate ni nyota tu imemng'alia mnyamwezi kwani ndo anamek headline kwa sasa!it's his time acha awape ndizi tu hao viumbe!
 
Muziki wake...Hilo ndilo lilokuwa relevant at that point and time na syo kwasababu ya mapenzi yao.Dogo kaingiza mapenzi sehemu isiyotakiwa.

wewe ndio ulivyoona hivyo, ukiambiwa alimka ili andikwe zaidi na magazeti ya udaku utabisha?? au All in all mwanamke lazima uwe na soni angalau kidogo we una bifu na mtu, unapata ujasiri gani wa kumka kwenda kumpongeza?? ni lazima kujua alama za nyakati jmushi.
 
Du, mapenzi bwana we acha tu, wakati jana ilikuwa vile leo imekuwa hivi! Ila kiukweli haijatulia kwa Diamond kufanya vile.
diamond&wema.jpg
 
Mkuu unajipigia pasi ama? Yani unapiga kona, kisha unaiwahi na unapiga bao mwenyewe?lol!

Vip bana kuhsu ile ishu?

mzee ukitaka kunukia, kaa karibu na waridi!!!!hapa maisha club kuna kaparty ka wema nahisi anataka kutambulisha nyimbo yake mpya!aisee huyu demu anababaikiwa na mademu wenzake yaani hapa mizigo ya kufa mtu!nadhani match ya barca ikiisha umati wa coco utahamia hapa!madem wengi magari machache kama una usafiri hapa na wallet imetuna haya sura huuzi sana ni kuchagua tu!
 
Back
Top Bottom