Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

Hata mimi nina kadi ya CCM lakini si mwanachama na si msaliti wa mageuzi!!! CCM hugawa kadi kama njugu, na wakati mwingine hulazimisha ili kupima msimamo wako, ukikataa wanakushughulikia cheo hupandi... haya yalitokea sana Enzi zileee ... sasa hivi jino kwa jino mpaka kucheee
Kwani madiwani wa shinyanga sio mamluki? Bado wana kadi za CCM.
 
No wonder elimu ya Tanzania iko Kaburini, unafundisha wapi Mkuu? angalau tuchukue tahadhari kwa watoto wetu ili baadae jamii isije kuwalalamikia kuwa hoja zao dhaifu, wanapenda shortcut za maisha, wasaliti kwa nchi yao... Unawadhalilisha waalimu wenzio ...
Ukweli Unauma!!
 
Matusi kwetu mwiko,tunshitaji ujengaji wa hoja.

mkuu habari za ACT? wazima huko? mimi ninavosikia apa jf na uku uraiani inadaiwa wengi wanaochepuka toka chadema ni mashushu wa cdm.... ccm inajua imepata wanachadema kumbe imelamba wadukuzi, nasikia akina Juliana, mchange nk nk woote ni mpango mkakati wa wadukuzi wa cdm ndo maana hautasika cdm inawawekea bifu, wameenda wamejua kinachoendelea na kurudi kwao, hofu yangu ni kuwa kwa nini hawa wamerudi mapema wakati walioitwa ' wasaliti' waandamizi hawajarudi?? haujashutka waliotemwa juzi hawana chama ila bado waikandia cdm na wanaikandia ccm kwa nyuzi joto ile ile??
 
Kwa sababu ACT hakuna mwenye akili wakutengeneza vijana, wametengenezwa wamekunywa maji ya bendera za kijani wafuasi wa jangiri la pembe za ndovu msomali anadictate terms

Pole sana huna hoja, unauwezo wa kuropoka tuu. Pesa ZA faini zilozotolewa na vijana wa Arusha Mbona huZizungumzii. Bali kutafuta uongo. Msomali anachapa kazi kwa nidhamu na amekijenga chama chake. Na hamumwezi hata kidogo amewatoa mapovu
 
SIRI YA MADIWANI WA SHINYANGA NA CHADEMA
YAFICHUKA,MBOWE ASEMA WASALITI WA
CHADEMA HAWASAMEHEKI!!!! Katika hatua
inayowashangaza Watanzania wengi kwa nini
Chadema imewasamehe madiwani wa
Shinyanga,tofauti na msimamo wa Mwenyekiti wa
Chadema Taifa Freeman Mbowe alioutoa hivi
karibuni kuwa wasaliti wa Chadema
hawasameheki na huo ndio umekuwa msimamo
wa chadema wa kutokuwasamehe wasaliti wote.
Ikumbukwe kuwa madiwani hawa wa Shinyanga
walikisaliti chama cha Chadema kwa kujiunga na
Magamba wa CCM.Madiwani wa Shinyanga
waliamua kujiunga wenyewe na CCM na
kuachana na Chadema ambao siku za usoni
kimekuwa chama kinachoongozwa na fikra na
maslahi ya Mwenyekiti Mbowe na
Dr.SLAA.Madiwani hao wa shinyanga
walipojiunga na CCM wamekuwa wakipewa
maisha bora na CCM.Pia madiwani hao
wamekuwa wakikisaliti CHADEMA kwenye
mikutano ya hadhara ya CCM hasa kipindi
walipokabidhiwa kadi za CCM na NAPE MNAUYE
na wakakichafua vibaya chama cha chadema
mbele ya wananchi. Lakini Madiwani hawa wa
shinyanga walikwenda Kalenga na wakasaidia
kukipatia ushindi CCM na Chadema ikashindwa
vibaya huko Kalenga.Usaliti huu uliofanywa na
madiwani wa chadema shinyanga
hauvumiliki,kwani umekipotezea chama
wanachama wengi na kufanya chadema kukosa
kata za udiwani huko shinyanga ambapo ni
hasara kubwa kwa uhai wa chama.Bado
tunakumbuka madiwani wa Arusha waliofukuzwa
na Chadema kwa makosa ya usaliti wa kutafuta
maridhiano na muafaka wa maslahi ya wana
Arusha,madiwani hawa wa Arusha walikuwa
wanatafuta hali ya amani kurejea jijini Arusha
mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kwani
Arusha ilichafuka na wananchi kuishi maisha ya
hofu kwa vitendo vya uvunjifu wa amani
vilivyokuwa vinaendelea Arusha.Madiwani
watano wa Arusha wakakubali kuwa Wazalendo
na kutafuta muafaka na viongozi wa CCM ili
kurejesha hali ya amani jijini Arusha. Na
muafaka huo ulizaa matunda ya amani kwani
kiongozi wa maridhiano hayo alikuwa mkuu wa
wilaya ya Arusha kipindi hicho Be.Raymond
Mushi ambaye kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya
Ilala. Kosa la madiwani wa Arusha ilikuwa ni
kutafuta maridhiano ya kurejesha amani ya jiji la
Arusha kwa maslahi mapana ya wana Arusha.
Usaliti wao ulikuwa huo na hatimaye
wakafukuzwa uanachama wa chadema eti
wamekisaliti chama.Kwani Mbowe alieleza
kwamba maridhiano lazima yapitie kwake na sio
kwa viongozi wengine.Hivyo Dr. Slaa alitoa
tamko la chama kwa kuwafukuzu madiwani hao
wa Arusha.Baadae madiwani hao wa Arusha
wakaenda mahakamani na kufungua kesi dhidi ya
Mbowe na Chadema.Ambapo kesi hiyo kimsingi
walitakiwa kushitaki bodi ya wadhamini wa
chama. Madiwani wa Arusha walikuwa
wazalendo wakafuata taratibu za kikatiba
wakaandika barua ya kuomba msamaha kwa
mamlaka iliyowafukuza uanachama.Majibu
wakapewa,yakisema kwanza wakakabidhiwa chini
ya uangalizi wa Ndesamburo ambaye ni
mwenyekiti chadema Kilimanjaro nao wakafanya
hivyo. Pia Dr. Slaa akasema wafute kesi
mahakamani wakafuta kesi mahakamani. Mara
baada ya madiwani wa Arusha kesi kama
walivyoombwa na chadema na wao wakafuta
kesi, Dr. Slaa kupitia kwa mwanasheria wa
Chadema mkoa wa Arusha Bw.METHOD
KIMOMONGOLO akishirikiana na katibu wa
chadema mkoa wa Arusha Bw.AMAN GOLUGWA
ambaye kwa sasa pia ni Katibu chadema kanda
ya kaskazini waliwafungulia kesi madiwani hao
wa Arusha,kesi ya kukazia hukumu ambapo
mahakamani iliwaamuru walipe gharama za
usumbufu wa kesi na wakalipa milioni kumi na
tano na laki tano. Lakini waliombwa na chadema
wafute kesi baadae Dr. Slaa na wenzake
wakawageuka madiwani na wakajipatia kiasi
hicho cha pesa kutoka kwa madiwani hao. Dr.
Slaa wakatengeneza kiasi hicho kikubwa cha
pesa ambacho mpaka hivi sasa kwenye vitabu
vya mahesabu vya chadema hazionekani.Na
wajumbe walipouliza waliambiwa wakae kimya
wasitake kujua kila kitu ndani ya chama.Pesa
hizo zilitafunwa na Dr. Slaa pamoja na Lema
mbunge wa Arusha mjini.Madiwani hawa Wa
Arusha wamekuwa wazalendo na wakaomba
msamaha lakini hawakusamehewa hatima yake
wakazungukwa na kuibiwa pesa hizo. Leo
mnawasamehe wasaliti wakubwa madiwani wa
shinyanga,kwani chadema imetumia pesa nyingi
kuwarudisha madiwani wa shinyanga na
kutengeneza taarifa za uongo ionekane kuwa
wamerubuniwa na kushawishiwa na watu.
Mbowe amewapa madiwani wa Shinyanga milioni
hamsini kila mmoja ili warudi chadema na
kuwapa taarifa za uongo ili warudishe imani ya
chadema kwa wananchi. Chadema Makao makuu
kwa sasa inaangaika kurejesha imani kwa
watanzania kwa gharama kubwa. Ni vyema
chadema mkaelekeza nguvu kwenye mikutano ya
M4C,, CHADEMA NI MSINGI,PAMOJA DAIMA na
oparesheni zingine badala ya kutengeneza na
kupika taarifa za uongo kwa watanzania. MBOWE
amesema wasaliti wote hawawezi
kusamehewa,Ni ajabu wasaliti wa shinyanga
wamesamehewa na madiwani wazalendo wa
Arusha wakaachwa njia panda.
WATANZANIA HATUNA IMANI NA CHAMA CHA
KIHAFIDHINA CHA CHADEMA..
TUNAHITAJI MBADALA WA VYAMA VYA WATU.

eti ni mwalimu! Very low brained.
 
Inaonekana bila kuzungumzia chadema mkono hauendi kinywani
 
salam.Kumekuwepo na wimbi la shutuma za kununuliwa na kusaliti miongoni mwa viongozi wa vyama vya upinzani kuanzia ngazi ya mtaa,diwani,wabunge mpaka wakuu wa chama.Kwa hali hii ya kununulika au kusaliti wakati wanapambana kuingia madarakani je tukiwapa mamlaka ya kutuongoza ndio itakuwa mwisho wa kununuliwa na kusaliti au ndio wataiuza nchi kwa mabepari na kusaliti harakati za kujenga uchumi wetu zaid ya hawa mafisadi?.WALIOPO HATUWATAKI NA WANAOTAKA HATUWAAMINI
 
Cdm waanze kwanza kudhibiti nidhamu ndani ya chama kabla ya kupewa nchi, wenzao cuf wameweza! Shibuda na arfi watimuliwe mara moja. Kuwa mwanachama ni kufuata sera, miongozo na kanuni za chama, nje ya hapo hakuna uanachama.
 
Hapa unachanganya madesa. Wanaosaliti ndani ya Upinzani wanafanya hivyo kwa msaada mkubwa wa CCM,

sasa ukisema usiwape nchi wapinzani uje uwape CCM, huoni kama ndio unawapa vinara wa usaliti!!!???
 
Back
Top Bottom