Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,905
Kijana Mdogo Mtanzania mwenye kuipenda nchi yangu,........
Kwanza kabisa nimshukuru allah(Mungu) kwa kunipa nafasi ya kuandika uzi huu huku machozi yananitoka?
-Vita na Migogoro yote duniani ,chanzo ni mali na haki.
*Mfano Dr.Congo chanzo ni Dhahabu,
*Libya-mafuta
*Israel-ardhi
*Rusia-Usalama.
(🕒...uliikuta Tanzania salama,ulijitwalia kijiti kilahisi sana ukikuta Tuna amani,upendo japo wa kinafki,ila unataka kuiacha Tanzania inavuja Damu na umeiuza (umeitaifisha kwa manufaa yako)
-Mtu anaweza jiuliza itaiyachaje Tanzania inavuja Damu?
Tuanzie hapa machafuko ya south Afrika,ni makosa ya watangulizi wao kufanya nchi huru (shamba la bibi) kiasi kwamba mtu anatoka nchini kwake anahisi pale ndio chimbo ,wakati wenyeji wapo,maeneo yote yenye fursa yanamilikiwa na watu wachache na Wageni.
Machafuko ya Dr Congo ni vile wazawa wanaona wana mali lakini nchi yao inaendelea kuibiwa na wanakuwa maskini,
Kuna Mpumbavu anaweza sema ni uvivu- ni hivi chukulia vizazi vijavyo vikute bandari siyo yao,migodi yote,ardhi ya Loliondo na ardhi nyingine siyo yao hivi unazani al shababu haitoundwa?? Eti au ulizani Al shababu hawana uchungu na nchi zao?
Na je hiyo damu itakayo mwagika italipa nani?maanan damu hulipwa kwa damu-Muhusika mkuu ni wewe 🕒 either upo au haupo utalipa. Kwa sababu dhambi yako inaenda kuandika kwa wino wa Chuma.
Machafuko yoyote yatakayo ikumba Tanganyika basi kama si wewe basi kizazi chako kitalipa hapa au arkhera
-Umeuza nchi- naandika kwa uchungu nikiitoa rangi ya blue kwenye bendera ya Tanzania nikimaanisha ,,Tanzania ni kame kama utakosa uhuru wa kumiliki kingo za maji na Malango basi hauna maji, Waha-Tanganyika ziwa si mali yao, Mwanza na bukoba -Viktoria si mali yao, Dar es salam-bahari si mali yetu ,
Kingo na malengo si mali yetu si kwa miaka kumi,20,100,1000000000 namaanisha milele,hata wale mabwana wakishindwa masharti hata hilo si sababu ni vyao,.kwa hiyo kuna eneo la Dubai Waarabu kwanzia Loliondo na bandari zote. Dhambi hii ya kutudharau watanzania tutaiyandika mioyoni mwetu kama kiongozi mbaya kuwahi kutokea kwa kuuza nchi yetu
-Uliiukuta Muungano kwanzia kwa nyerere,mwingi,mkapa,kikwete,Jpm sasa Muungano unaenda Kukosa nguvu na 90% ya Watanganyika wapo tayari kuuvunja kwa kuwàona wazanzibar wanatuuzia ardhi,wakati si wazanzibar wote naanisha wewe mama,Dhambi hii haitokuacha salama,
Itaandikwa kwa wino wa Chuma.
Watanganyika wote wameukataa huu ujinga katakata ila wewe na kikundi kichache unataka kuupitisha kibabe naanisha kibabe,
Mimi ni mwana Ccm damu,ila ikisimamishwa jiwe na wewe nipige kura nitalipigia kura jiwe si wewe,naomba watanganyika tuungane kwa pamoja 2025 tusipo kuwa makini nyumba yako wanaweza pewa waarabu,kama walivyopewa nyumba za wamasai kule Loliondo na bandari pasina kikomo.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Tanganyika ,isiuzwe yote kwa waarabu