Device not Recognized

Aswel

Senior Member
May 1, 2012
114
34
Habari zenu wana JF, naomba msaada wa kutatua hili tatizo kwenye flash yangu kwani kila nikiiweka naambiwa Your USB device is not recognized
Nawasilisha.
 
hiyo nadhani ni kukosekana drive wa hiyo usb. Ila kwa kawaida huwa inajiinstall ukiclick hiyo meseji. Umewahi kuitumia hiyo device kwenye computer hiyo? Inakubali kwenye computer nyingine?
 
hiyo nadhani ni kukosekana drive wa hiyo usb. Ila kwa kawaida huwa inajiinstall ukiclick hiyo meseji. Umewahi kuitumia hiyo device kwenye computer hiyo? Inakubali kwenye computer nyingine?

Ndio nilikuwa ninaitumia toka mda mrefu, lakini kwa sasa ndio inanisumbua, na sijabadili setting yeyote na hata nikijaribu kwenye computer nyingine kazi ni hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom