Developer withdraws highly popular flappy bird game

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Flappy Bird game withdrawn by developer
10 February 2014 Last updated at 22:14
GMT
The maker of a hit game for mobile phones
has shocked users by withdrawing it
despite claiming it was earning him $50,000
a day.
Flappy Bird has been topping the games
charts around the world and is the latest
example of a viral hit made by a solo
developer rather than a big games business.
Rory Cellan-Jones reports.
 
hii game bana imenivutia vibaya sana japo ina graphics mbaya ila its very addictive. yani nimejikuta naicheza usiku kucha narudia na kurudia
 
jamaa game alicopy copy tu na wala hakutegemea kupata hela nyingi hivyo sasa anaogopa akishaekewa kile kialama cha top developer kinachofuatiwa ni kushtakiwa na kugawana hela.
 
jamaa game alicopy copy tu na wala hakutegemea kupata hela nyingi hivyo sasa anaogopa akishaekewa kile kialama cha top developer kinachofuatiwa ni kushtakiwa na kugawana hela.

japokuwa jamaa kasema hajaiondoa kwa sababu ya legal issues ila obvious kaiga pipe za super mario pia kuna game ya zamani ambayo.inasemekana jamaa kakopi. yani nadhani aliifanya for fun eti aliitengeneza ndani ya siku tatu...
 
japokuwa jamaa kasema hajaiondoa kwa sababu ya legal issues ila obvious kaiga pipe za super mario pia kuna game ya zamani ambayo.inasemekana jamaa kakopi. yani nadhani aliifanya for fun eti aliitengeneza ndani ya siku tatu...

All said and done jamaa alikuwa anavuta hela ndefu kweli kutokana ads, inasemekana zaidi ya $ 50,000 kwa siku. Ndio majabu programming can make you rich overnight.
 
Saizi si unaambiwa zinakuja smartphones ambazo ni pre installed..... Android na apple
.
Different sellers are offering mobile
phones with Flappy Bird for
between $300 to $5,000, mostly for
white iPhone 5S. Ebay
.
Yaani gemu baya lakini tamaa tu zakutaka kulimaliza ndo zinafanya lizidi kupaa :lol:
.
Developer kalitoa play store afu anakuambia
.
My own happines is more important tha getting more money which i doesn't know what to do with.....
.
Na tuki kaa kidogo NSA wata li backtrack kama lile la angry bird
.
 
mie nimefika tisa. ila najaribu kila muda yani natumia masaa mengi

kaka mbona score ndogo sana. nina 25 best score na juzi nilikuwa nimefika hadi 34 ndo lisimu likazima eti low battery.

hii game ni addictive kiasi kuwa when my phone imegoma kuwaka am more pissed kuwa sitaweza kucheza flappy kuliko kuwa simu haifanyi kazi
 
kaka mbona score ndogo sana. nina 25 best score na juzi nilikuwa nimefika hadi 34 ndo lisimu likazima eti low battery.hii game ni addictive kiasi kuwa when my phone imegoma kuwaka am more pissed kuwa sitaweza kucheza flappy kuliko kuwa simu haifanyi kazi
game gumu hili japo kwa muonekano simple. ila nikiwa free ntakomaa nalo mpaka nione ntaishia wapi
 
Back
Top Bottom