Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

Usijali kamanda. Anadhani watu wanabahatisha maisha. Isdory tuwasiliane ili nikupeleke au nikuelekeze ofisini tulipo.. Ila uwe serious pia mwenye nia safi.

Sawa Kamanda!..
Ila bado namwambia ni AIBU KWAKE KUKUBALI KUTUMIWA NA WANAUME WENZAKE KUMKEJELI MWANAUME MWENZAKE!.. What a Shame!
 
Hahahaha! Kijana naona umeamka naona. Unajua mi nawashangaa hao jamaa....... Deus F Mallya kajieleza kila kitu anachoona yeye kinafaa kuwa public. Ana haki ya kuficha mambo anayoona hapendi yawe public. watu wamemkomalia wakati wao ya kwao hata mawili hawajathubutu kuyaweka hadharani. Isitoshe bwana Deus amewapa uhuru wa kuyaweka hadharani wanaoyajua wao juu yake. Badala ya kuyaweka wanaendelea kuuliza maswali hayo hayo page mbili nzima...... Anayoyasema wanamkatalia, kuyaweka wanayoyajua hawataki wanakomaa na viswali vyao ambavyo havina uhusiano wowote ule na mada iliyoko mezani.... Dah!!

Mkuu, kuuita huu ni wivu wa kike ni kuwadhalilisha mama zetu, huu ni wivu wa ki-kenge!!

Sijawadhalilisha. Upo wivu wa kiume pia upo wa kike. Hakuna asiye na wivu. Sasa huyo Isdory ni wa kiume bt ana wivu wa kike. What a shame. Ana tabia za kisengenyaji sana. Ndo nini kumsengenya Deus kwa maneno mufilisi?
 
Last edited by a moderator:
Hawezikumaliza siku bila kumtaja BOSI WAKE..
Mwambieni aseme kuwa huyo Chami aliwahi kunikutanisha na nani na kwa Deal gani (Wakati sina kampuni na ni STD 7)
Hahaha... Hakyamungu!:shetani:
Hahahahaha.............. on contrary, watu wameanza kumtilia mashaka huyo anayesema we hujaenda shule. Soma hapo chini.

You sound like un-learned brother! Inaonekana kama umesoma hata elimu yako haijakusaidia! Post zako zinaonekana ni za kitoto sana!
 
And who is your uncle my friend? Mbona unataja wajomba wa wenzako tu? Na kama unaweza kuthibitisha kuwa Cyril Chami ni mjombake Deus, inakushinda nini kuthibitisha hayo mengine? Maswali mengi ya nini wakati unamjua Deus? Si uweke tu hadharani ili Deus athibitishe au akanushe?.......

Masuali tena wakati hajibu. Yapi nikuthibitishie? I said from the begining he is not a MURDERER, mbona hili hamuoji namchukia ila nang'ang'ania his INNOCENCY?

Ningekua na wivu c ningeshindilia hii DOUBT kubwa zaid ya kuhusika na kifo cha chacha wangwe? I knw he is not CAPABLE of doing that wengine wameanza na kunitukana cna mda wa kuwajibu bt nnachosisitiza AMELIZA wengi so b cautious u can b the next VICTIMS! Sina chuki nae na ctamchukia kamwe lemme declare that!


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ofisi ipi wewe? Za watu unaita zako huu upuuzi unajibu na kulike fasta ila mengine hujibu be ashamed of yourself! Eti ofisini kwangu! Lolz. Jibu form one ulisoma wapi coz f4 hujibu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums........

We ushajua kuwa ni ofisi za watu halafu hapohapo unauliza tena zilipo ofisi zake{Deus}

wewe wewe umeshasema humu kuwa hajasoma{Ameishia std 7} halafu unaendelea tena kuuliza kuhusu elimu yake. Unajielewa kweli? Au ndo umekubali ku2miwa so hata hauchuji unacho2mwa? Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
. Anayoyasema wanamkatalia, kuyaweka wanayoyajua hawataki wanakomaa na viswali vyao ambavyo havina uhusiano wowote ule na mada iliyoko mezani.... Dah!!
.....

Umenikumbusha kule jukwaa la "kuomba kazi" wabongo bwana, walikua wanalalamika kua kwenye shortlist ya interview watu wanapendelewa wanaitwa ndugu zao.

Juzi juzi hapa wameitwa wote walio apply wamekuja kulalamika tena eti HR mvivu kwa nini atuite wote? kweli ubinadamu kazi
.
 
Wewe Deus Mallya! Naomba usilete CV yako ila sema kimoja tu, umemaliza Form four shule gani? Na usiwadanganye wana JF! Maana ukae ukijua kama elimu yako itakua haina maana kama utadanganya wale wanao kujua.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
1) Tunahoji elimu yake coz kunacontradiction kati ya elimu yake ya ukweli wa kuwa editor wa kitabu cha Mh zitto yeye ni std 7 vinginevyo akanushe. Na coz zitto yupo humu ye anaweza kutupa ukweli pia)
2) kuhusu publishing coy sababu ndiyo njia aliyotumia kuwatapeli wanafunzi wa umbwe na father Temele na ndiyo anayoitumia sana. Kama anacoy ya hizo kazi athibitishe kwa hata kutupia location yake au mkoa iliyopo..
Tunaomba wote mjue kuwa kuhusiana na kifo cha wangwe mahakama imeshatoa hukumu na hatunashaka na hiyo hukumu kivyovyote swala la kugomea ubunge ni lake na familia yake............. Cha muhimu tunataka mjue the guy ni maneno mengi sipenditumia Lugha ya kuuzi.

Alishasema haombi kazi hapa, cv ya nini?

Kama unatilia shaka elimu yake, usimpe kazi....finito!
 
Wewe Deus Mallya! Naomba usilete CV yako ila sema kimoja tu, umemaliza Form four shule gani? Na usiwadanganya wana JF! Maana ukae ukijua kama elimu yako itakua haina maana kama utadanganya wale wanao kujua!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums


nakuona umeamua kuja na ID nyngne sasa. Hapo ndo naamini kuwa unatumika. hata cmu umepewa ili uendelee kum2mikia bwana ako alyeku2ma. Shame onu
 
Maswali tena wakati hajibu! Yapi nikuthibitishie? I said from the begining he is not a MURDERER mbona hili hamuoji namchukia ila nang'ang'ania his INNOCENCY? Ningekua na wivu c ningeshindilia hii DOUBT kubwa zaid ya kuhusika na kifo cha chacha wangwe? I knw he is not CAPABLE of doing that wengine wameanza na kunitukana cna mda wa kuwajibu bt nnachosisitiza AMELIZA wengi so b coutious u can b the next VICTIMS! Sina chuki nae na ctamchukia kamwe lemme declare that!


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Trust me, these very own words of yours certainly contradicts your attitude towards him.
 
Naona maelezo hayajaeleweka! Mr Mallya nataka majibu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Semali nimekuheshimu sana kwa ustaarabu uliouonyesha!
Hizo kwangu si tuhuma ni vijineno vya kupikwa!.. Hakuna ukweli wowote hao wanaoandika huo uzushi walete ushahidi na si kuniuliza maswali. Hawanijui na siwajui. "Kichaa akikuchukulia nguo ukiwa unaogelea usimkimbize kwa kuwa wewe utaonekana kichaa zaidi". Tumeni E.Mail kwenye vistaprinttz@yahoo.com mtapata maelekezo mfike ofisini kwangu mpate majibu ya ana kwa ana muone na hiyo ofisi inayoitwa stationery.

Man, you've now been too generous. Hopeful you'll be careful next time when dishing contacts coz some people here will do to you an al-qaeda.
 
hajui atendalo huyo. Kuna m2 yupo nyuma yake.

Siku 1 mtakuja kunielewa ila take ur time do a very small research utagundua hata akigombea ujumbe wa nyumba kumi hapati pale kwao kwa jinsi alivyoharibu. Sasa nyie mmekazania kunitusi of which hata mie kutukana naweza ila 'P' na dignity yangu cwezi ichafua kirahisi ivyo by the way tangu mmeanza kutukana cjaona tuc jipya hebu mwenye kali na latest atupie ntamuheshimu zaid coz hata nyie bado nawaheshimu kwa sababu hamjamjua mkijajua halafu mkaendelea ndo ntawadharau.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Watu wengine wanafikiri kwa kutumia yale Aliyosema Masabiri, wewe nani kakuambia elimu haisaidii? Unataka chama kiwe na wabunge na viongozi wenye akili na upeo finy kama zako? Jitambue kenge wewe! Au anakuhonga bia?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
nakuona umeamua kuja na ID nyngne sasa. Hapo ndo naamini kuwa unatumika. hata cmu umepewa ili uendelee kum2mikia bwana ako alyeku2ma. Shame onu

Hahahaaa mimi tena huyu? Napatwa na mashaka na wewe sasa. Nways mwenye id yake jamani ajibu hilo ila mimi sio yangu wala siijui.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Naona unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe, unadhani kuna watoto humu JF unajianzishia thread halafu unajijibu mwenyewe...usiwe na wasiwasi ubunge wa Kibosho utapewa na Mbowe na Slaa, kazi waliokutuma ulimaliza vizuri Kamanda.........

Le Mutus & FMES
Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!!!!
 
Siku 1 mtakuja kunielewa ila take ur time do a very small research utagundua hata akigombea ujumbe wa nyumba kumi hapati pale kwao kwa jinsi alivyoharibu. Sasa nyie mmekazania kunitusi of which hata mie kutukana naweza ila 'P' na dignity yangu cwezi ichafua kirahisi ivyo by the way tangu mmeanza kutukana cjaona tuc jipya hebu mwenye kali na latest atupie ntamuheshimu zaid coz hata nyie bado nawaheshimu kwa sababu hamjamjua mkijajua halafu mkaendelea ndo ntawadharau.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Dah! Mimi namjua. Ni rafiki yangu. Nakushangaa unafanya usanii wako wa kuunda maneno. Mtafute Ray au Ali Yakuti akuandkie script mfanye bongo movie. Mtauza sana nakwambia.
 
Back
Top Bottom