Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

Sidhani kama ni muda muafaka wa kujadili nani agombee uongozi cha msingi kwa wakati huu ni kukipigania na kukieneza chama muda ukifika nadhani kila kitu kitajiweka sawa. CHADEMA sio chama cha watu kutafuta madaraka hiki ni chama cha kuleta ukombozi ndani ya taifa letu katika nyanja mbalimbali.Kama ni kutaka kugombea hata mimi nina lengo hilo lakini silipi nafasi muda huu kwani kilicho mbele yangu ni M4C.
 
Nimesoma naomba dakika 30 nitajibu kwa usahihi zaidi.

Ahsante sana.

Salute kwako Mkuu. Naomba uje na majibu ya maswali haya mawili.
1. Inaelezwa kuwa Cyril Chami ni Ndugu yako, Ni kweli? Kama ni kweli ni undugu gani na yeye ndiye aliyekuwa nyuma ya pazia kwenye kesi yako?
2. Inadaiwa kuwa umeoa mtoto wa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa kilimanjaro,Ni kweli? Yeye (Shemeji yetu ni chama gani)
 
Sidhani kama ni muda muafaka wa kujadili nani agombee uongozi cha msingi kwa wakati huu ni kukipigania na kukieneza chama muda ukifika nadhani kila kitu kitajiweka sawa. CHADEMA sio chama cha watu kutafuta madaraka hiki ni chama cha kuleta ukombozi ndani ya taifa letu katika nyanja mbalimbali.Kama ni kutaka kugombea hata mimi nina lengo hilo lakini silipi nafasi muda huu kwani kilicho mbele yangu ni M4C.
Juzijuzi tu kuna jamaa huko tarime na yeye amesema nia yake ni ubunge.
 
yeyote mwenye sifa aje moshi vijijini kupitia chadema.huyu mbunge chami ametuangusha sana kwa kuchukua kitu kidogo kutoka kwa mabosi wa tbs.
 
Yule dogo aliyemfanya kitu mbaya Chacha Wangwe!

Mkuu ningeshangaa sana kama ungekosa kwenye hii thread, MBONA ZILE ZA MIKUTANO YA CHEDEMA HUKO MORO SIKUONI? Au unaingia kama guest?
Kwenye hii thread nahisi unaweza kukesha hapa
 
Yule dogo aliyemfanya kitu mbaya Chacha Wangwe!
No, sidhani.Fuatilia kuna mada Chacha Wangwe alikuwa aiwakilishe bungeni akitokea kwenye safari yake,Na alimwambia Sitta,Sitta akamwambia awe makini,lakini hakufanikiwa kuileta hoja.Sasa fuatilia nani hoja ile ilikuwa ikimuhusu ndo uanze consipracy...
 
Kama anayo nia nampongeza sana kwa uamuzi wake.. Jamaa namkubali sana. Naamini anao uwezo mkubwa wa kuchukua jimbo.. Magamba mjipange sana.
 
Deus: shikamoo Mzee,junior hajambo? Pipo pawa.
Slaa: marahaba,junior hajambo,pipo pawa.
Deus: nina tatizo moja mzee
Slaa: kuna nini tena?
Deus: kuna topic imeanzishwa JF kuhusu lile swala la mie kugombea ubunge pamoja na ile issue yangu ya chacha,sasa sijui unataka nijibu nini?
Slaa: aisee,umesema JF? Hii ni hatari. Usirudi huko,potea kama nilivyo potea mimi na mama junior.
Deus: lakini mzee si uliniahidi mambo yakipoa baada ya ile shughuli ya Chacha na mimi utanipa ubunge,si na mie niseme tu nia yangu kama alivyo fanya Heche?
Slaa: kweli ulifanya kazi nzuri sana, ok we wazungushe tu au wape majibu mepesi halafu mie tazungumza na Molemo akavuruge hiyo topic.
Deus: Hehehehe. Sawa mzee asante sana. Pipo powa
Slaa: pipo powaaaaaa.
 
Kule nadhani Anthony Komu ndio atagombea, kwani Chadema ilimsimamisha nani 2010?

Kumsimamisha Deus Malya kutaleta hatari kubwa kutokana na mtazamo mbaya wa kijamii uliotokana na kifo cha Wangwe.

Kwani Malya ana mchango
gani ndani ya Chadema mpaka tumfikirie kugombea huko?
 
Deus: shikamoo Mzee,junior hajambo? Pipo pawa.
Slaa: marahaba,junior hajambo,pipo pawa.
Deus: nina tatizo moja mzee
Slaa: kuna nini tena?
Deus: kuna topic imeanzishwa JF kuhusu lile swala la mie kugombea ubunge pamoja na ile issue yangu ya chacha,sasa sijui unataka nijibu nini?
Slaa: aisee,umesema JF? Hii ni hatari. Usirudi huko,potea kama nilivyo potea mimi na mama junior.
Deus: lakini mzee si uliniahidi mambo yakipoa baada ya ile shughuli ya Chacha na mimi utanipa ubunge,si na mie niseme tu nia yangu kama alivyo fanya Heche?
Slaa: kweli ulifanya kazi nzuri sana, ok we wazungushe tu au wape majibu mepesi halafu mie tazungumza na Molemo akavuruge hiyo topic.
Deus: Hehehehe. Sawa mzee asante sana. Pipo powa
Slaa: pipo powaaaaaa.

Huu muda uliyo utumia kuandika upuuzi na upumbavu huu ungeutumia ku-improve IQ yako
 
Kumbuka kuwa hata kiyeuyeu aliyedaiwa kupanga lumpindua nyerere alikuja kugombea ubunge kabla hajafariki japo alishindwa.
 
No, sidhani.Fuatilia kuna mada Chacha Wangwe alikuwa aiwakilishe bungeni akitokea kwenye safari yake,Na alimwambia Sitta,Sitta akamwambia awe makini,lakini hakufanikiwa kuileta hoja.Sasa fuatilia nani hoja ile ilikuwa ikimuhusu ndo uanze consipracy...

Hizo ni story tu za kutaka kujisafisha, kuhoji mara kwa mara matumizi ya fedha za ruzuku ya chama baada ya uchaguzi 2005 ndicho kilichomtoa uhai Chacha Wangwe. Mzimu wake unaisumbua mpaka leo CDM ndio maana utasikia mengi ya ajabu mara fulani kakopa, bwana mkubwa kauzia chama gari chakavu na bado mengi yatakuja.
 
Sitta ni mwana ccm,fuatilia vyema aliyoyasema.Na alimtahadharisha Wangwe kuhusu uwakilishaji wa hoja hiyo iliyohusiana na kampuni ya uchimbaji wa madini...fwatilia mkuu.Kipindi hicho Sitta akiwa spika wa bunge la jamuhuri.
 
Back
Top Bottom