Dereva mzoefu anatafuta kazi

Hanifer Mjanja

Senior Member
Dec 10, 2019
189
270
Habari marafiki,

Kuna ndugu yangu yuko Dar es Salaam kwa sasa, anatafuta kazi ya udereva popote pale ndani ya Tanzania. Ni dereva mzoefu wa kuendesha magari makubwa, malori na magari madogo kwa zaidi ya miaka 10. Ana leseni madaraja A,B,C1,C2,C3, D na E.

Pia, ana cheti cha udereva cha VIP kutoka NIT pamoja na cheti cha udereva wa malori kutoka VETA. Pia ana uzoefu wa kufanya kazi kama sales representatives wa bidhaa za vinywaji baridi.

Anatafuta kazi ya udereva wa magari au malori, na kazi za sales kwa bidhaa mbalimbali na yuko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani ya Tanzania.

Naomba kama kuna mchongo wowote utakaomfaa huyu ndugu basi comment hapa, nitakucheki nikuunganishe naye.
 
Kwa msaada wa wote
Screenshot_20230127-235815_Samsung Notes.jpg

Screenshot_20230127-235822_Samsung Notes.jpg
 
Habari marafiki,

Kuna ndugu yangu yuko Dar es Salaam kwa sasa, anatafuta kazi ya udereva popote pale ndani ya Tanzania. Ni dereva mzoefu wa kuendesha magari makubwa, malori na magari madogo kwa zaidi ya miaka 10. Ana leseni madaraja A,B,C1,C2,C3, D na E.

Pia, ana cheti cha udereva cha VIP kutoka NIT pamoja na cheti cha udereva wa malori kutoka VETA. Pia ana uzoefu wa kufanya kazi kama sales representatives wa bidhaa za vinywaji baridi.

Anatafuta kazi ya udereva wa magari au malori, na kazi za sales kwa bidhaa mbalimbali na yuko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani ya Tanzania.

Naomba kama kuna mchongo wowote utakaomfaa huyu ndugu basi comment hapa, nitakucheki nikuunganishe naye.
 
Attachments

  • SAMSA LOG. JOB VACANCY.jpg
    SAMSA LOG. JOB VACANCY.jpg
    125.4 KB · Views: 10

Similar Discussions

Back
Top Bottom