Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,102
- 54,401
Hawaogopi/HawamwogopiKIZIMKAZI wanachezea nae TU bila shida kwakua hana nia njema na Tanganyika
Hawaogopi/HawamwogopiKIZIMKAZI wanachezea nae TU bila shida kwakua hana nia njema na Tanganyika
absolutely..KIZIMKAZI wanachezea nae TU bila shida kwakua hana nia njema na Tanganyika
Nikki wa Pili sikuhizi ni Nikki wa Samia🤣🤣Mkuu wa Wilaya, Nikki Wa Pili
Sasa Mwenyekiti wa serekali ya mtaa anakuwaje wa mchongo!? Inamaana serekali kuu haijui hilo!!??Stendi za kuanzia Kibamba Hadi kongowe Kuna watu wsmeweka ma betina yanatangaza uwepo wa viwanja vinavyouzwa Bei poa ya milioni moja pungufu unaongea. Na unaweza kulipa kidogo kidogo.
Nitoe tahadhari, kibaha hakuna kiwanja Cha milioni moja.
Mpigi HAKUNA kiwanja Cha milioni moja.
KUNA WALE WANAOTAPELIWA KWA KUNUNUA EKA MOJA NZIMA KWA LAKI TANO ENEO LA MLANDIZI. PALE KUNA MWENYEKITI WA SERIKALI ZA MITAA WA MICHONGO. SIKU MTAONYESHWA HUYO MWENYEWE NDIO MTAITA MAJI MMA.
SHAURI YENU
Kuna vijamaa Mwanza vilikuwa na tabia hiyo,vinatapeli watu kwa mtindo huo kwa kushirikiana na watu wa ardhi, vikipelekwa polisi na mahakamani vinatoka kwa dhamana,Ningekuwa na uwezo...matapeli wote wa ardhi wangekuwa wananyongwa...ubaya ni kwamba hawa jamaa uwa hawafungwi hata kidogo na ndio maana matukio yanaendelea kila kukicha.
stupidKIZIMKAZI wanachezea nae TU bila shida kwakua hana nia njema na Tanganyika
Kuwa makiniVipi kuhusu Boko Timiza maana nimenunua kule isije nako baadae tukaambiwa ni eneo la watu
Story ya upnde mmoja.Ila Hawa jamaa wameenda mpka ardhi means walifuata kanuni zote Sasa means changa lilianza kule ardhi
Umakini upi tena na tayari nimeshanunua, hapa naomba Dua tu tusije tukaambiwa ni eneo la BakhresaKuwa makini