Deo filkunjombe kuwa rais wa kwanza kutoka nyanda za juu kusini

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Katika maono nimeona rais akitoka nyanda za juu kusini na huyu ndio yule atakaye badilisha nembo ya fedha kutoka twiga kwenda chui na kuvunja laana ya kubwa jinga ya twiga ambaye ana uranium mafuta madini na mengineyo mengi lakini maskini.

Na huyo ni DEO filkunjombe.
 
Haya sasa, Nassari na CHADEMA washaanzisha vita vya "Nyanda" zitakazotoa rais.

Hatuangalii rais atakuwa na uwezo gani tena, tunaangalia nyanda, nembo na staghafira nyingine kama hizo.

SMH
 
Deo ni muwazi na mkweli, hakuna unafiki na anaonekana kutoka moyoni mwake!
Ana future kubwa ndani ya nchi hii, no matter being the president of our loved country!
I real appreciate the way he represent his voters!

He has to shift from the what is so called magambas!
 
Deo naye si msafi sana kama tunavyodhania! lakini ni mtu asiyependa masihara katika kazi. Ni aina ya watu kama EL katika utendaji kazi! note katika utendaji kazi
 
Magamba sidhani km wanaliwaza hilo!na the hate the transpancy!anatakiwa ang'oke magambani na ajiunge na m4c kabla mlango haujafungwa!he is a good man,wise and transparent,but he is not good in such coz yuko kwenye chama dhaifu.
 
kwanini awe deo na si mama makinda??? wote si wanatoka nyanda za juu kusini!!! ?? hivi wa tz mna pepo la ukanda siku hizi?
 
kumbe vigezo ni kanda anayotoka mtu?
Ckujua hilo.
Filikunjombe kaonyesha uwezo but kwa mtu makini inahitaji mda zaidi kabla ya kusema lolote kuhus huyu mhshmiwa.
Watu wanabadilika sana, tumeona wengi
 
kumbe vigezo ni kanda anayotoka mtu?
Ckujua hilo.
Filikunjombe kaonyesha uwezo but kwa mtu makini inahitaji mda zaidi kabla ya kusema lolote kuhus huyu mhshmiwa.
Watu wanabadilika sana, tumeona wengi
Mliposema mchagga hawezi kuwa rais mliwaza nini
 
Wakuu mleta mada keshasema very clearly ni "maono". Badala ya kumlaumu yeye tutatenda haki endapo tutamlaumu huyo "mungu" au "shetani" wake aliyemletea hiyo ndoto kwani yeye katumiwa kama chombo tu cha kuleta ujumbe. Tena habari njema ni kwamba ujumbe wenyewe tunaweza kuupuuza kwa 100% na usiwe na madhara yoyote.
 
Mliposema mchagga hawezi kuwa rais mliwaza nini

Alaa, kumbee??
Nakusoma vyema mkuu.
Lkn anaeitwa baba wa taifa si ndo alisema hayo?
Au aliteleza?
Kumbe ukanda/ukabila/udini/rangi vilianza kuhimizwa ck nyingi sana tena na watu wakubwa.
Nashukuru sana kwa kunifungua mkuu, nimpata shule ya kutosha.
I Hope na wengine wataelewa.
 
No doubt unaonglea mtu ambaye watanzania wenye mtazamo chanya wanamtazama kwa matumaini. Umeharibu hoja yako kwa kuingiza "ukanda".

Jamani, Tanzania yetu hii ni moja. Ebu tuitazame hivyo na watanzania wote tuwaone ni raia wa nchi hiyo moja, basi! Fikra hizi ambazo msingi wake ni kutugawa zinatuchelewesha!
 
Back
Top Bottom