Deni la Tanzania

421270_373213959419502_1887997660_n.jpg

Hiyo laki tatu mi nnayo, naweza kulipia wapi nijiomboe?
 
Kwanza ndugu zanguni nashukuru kwa kuona kuwa mnaijali nchi yenu kwa kuwa wafatiliaji wazuri wa mambo ya nchi yenu,pili ninaomba uckivu wenu na uelewa wenu kwa haya ntakayowapa ambapo najua mtapata ufahamu zaidi.
Inabidi kujua kutofautisha kati ya 1.misaada ya wahisani 2.madeni,
nitaelezea zaidi suala la madeni,kila serikali hapa duniani ina madeni,na kila mtu hapa duniani ana madeni,najua wengi wataguna hapo lakini ndio ukweli halisi,kama hauamini toa noti yako angalia back side/upande wa nyuma ya noti imeandikwa '(fedha halali kwa malipo ya sh....),,ndugu wananchi kama unavyojua malipo huwa ni kwa mahali unapodaiwa,kwa hiyo as long as unaishi na unatumia pesa basi una madeni,basi kama kila mtu ana madeni na kila nchi ina madeni basi tusishangae kwa tanzania kuwa na madeni. Madeni ya nchi huja kutokana na sababu mbalimbali,mfano dubai ilikopa zaidi ya dola billioni 100 ambazo kwa tanzania ni sawa na sh trilioni 156,kwa ajili ya ujenzi wa jiji wa kisasa wa dubai,na angola nao wana project hiyo kama ambavyo tanzania tunavyotaka kuendeleza kigamboni,hapo ni aina ya kwanza ya madeni ambayo yanahusiana na events pia yaweza kuwa ni silaha,chakula nk ambapo mkopaji anachukua pesa direct ama huduma direct..aina ya pili ya madeni ni pale serikali ktk hatua za kujiendesha za kila siku pesa zisitoshe,mfano serikali inahitaji kutumia trilioni 1 kwa mwezi kwa kulipa madeni,kulipa mishahara,huduma za jamii,kuendeleza miundombinu nk, na kama serikali imeweza kukusanya billioni 800 kwa mwezi haitaweza kukidhi matumizi na inabidi hatua ichukuliwe nayo ni kukopa,ambapo hapa ntaomba muwe makini ktk hii process,serikali itadeclare deficiecy ya billioni 200 kwa bot,bot watawasilisha hazina nao watatoa bills ambazo zinaitwa bond zenye thamani ya sh billioni 200 na kuipa bot ambapo bot itatangaza public mnada wa bonds ambazo zinaweza kuwa ktk mafungu yweza kuwa minimum ni millioni hamsini.nahapo private investors wananunua ambapo waweza kuwa ni individuals,banks,investors,etc ambapo let say atakayenunua bond atapata asilimia 10 kwa mwaka na baada ya miaka 5 anarudishiwa pesa zake.sasa mnada ukishafanyika ndipo pesa inayopatikana hupelekwa serikalini kwa ajili ya matumizi ya serikali.nafikiri kwa hapo mtakuwa mmenielewa ndugu zangu. Asanteni
 
Vasco da Gamba alipoingia madarakani, deni lilikuwa halizidi USD 4Bn sasa hivi USD 9Bn, wakati kila mradi tuna ambiwa ni FEDHA za NDANI! Sasa hizo pesa zimekenda wapi?

-Yaani Tangu Uhuru mpaka Mkapa ni USD 4Bn lakini ****** peke yake USD 5Bn more! Wakati tuna migodi, gas nk nk! No!
 
Back
Top Bottom