Denda limeniponza

Tatizo huwa hamtaki kumsikiliza MTU hataki nini, mwenyew meno yangu mabovu nimeyaziba na cementi nimesota whole day kwa doctor , nikikwambia denda ctaki elewaa, maana meno yangu yakibongonyokaa , no relationship again.Huyo Dada maybe alishawah pata ajari meno yakatokaa na hayo aliyonayo n bandia, so listen wat ur partner ideas.
 
Sio vizuri kupost mada za uongo ambazo watu wazima na akili zao wanakosa hata cha kuchangia na pia kuboeka baada ya kusoma.
 
Back
Top Bottom