stewart tesha
Member
- Feb 20, 2014
- 56
- 15
Sasa hilo denda na meno wapi na wapi ndg yangu hata km alikuwa na meno ya bandia?
rudia kusoma utamuelewa.
Sasa hilo denda na meno wapi na wapi ndg yangu hata km alikuwa na meno ya bandia?
Hii story haina muendelezo?
Alikuwa na meno ya bandia jamani. Hebu mpeni faraja mwenzenu
Cooked
Am getting old for this!