Dena Amsi Banned!

Hii thread nayo imekuwa ndeeeeeeeeefu, utafikiri nayo iliomba hisani kama ya kokudo
 
Mambo shem? pole kwa kusekwa rumande.

Kaka amekurithisha ile tabia yetu kumbe!! kwakweli sasa umeiva mafunzo na utakuwa shemeji wa kweli.

Nakutakia kila lam kheri, bila shaka umetambua kosa lako na utajaribu kuwa mwangalifu zis time around.
 
Sikufanya kosa shem niliomba mie nitafanya kosa gani na sheria za kwenu zimenikaa sawa siwezi kumisbehave hata siku moja.

Soma thread yote bana sio nusu nusu
 
Sikufanya kosa shem niliomba mie nitafanya kosa gani na sheria za kwenu zimenikaa sawa siwezi kumisbehave hata siku moja.

Soma thread yote bana sio nusu nusu

Huo ndio uzuri wa wanawake wa kitanzania waliofundwa wakafundika,

Mwanamke ni mwiko kumisbehave na hususan mke wa mtu kama ulivyo wewe.

Yani ninamuonea fahari kaka, ingawa nmuonea wivu!!:hand:
 
Hii ifungwe nianzishe nyingine "DA hakupigwa BAN bali alijipiga BAN....wadau diskasini tabia hiyo"!
 
Huo ndio uzuri wa wanawake wa kitanzania waliofundwa wakafundika,

Mwanamke ni mwiko kumisbehave na hususan mke wa mtu kama ulivyo wewe.

Yani ninamuonea fahari kaka, ingawa nmuonea wivu!!:hand:

Najua waliofundwa vizuri na kungwi katika darasa la unyago (kitaalam ,marmo) wamefundika vizuri. K hiyo hawawezi kumisbehave.
 
karibu DA, umeshampata BE? maana nilikupiga jungu uliomba BAN ukamtafute alikojificha................. mmerudi wote?

Kwa kumbukumbu ya Baba_Enock, Pata hiki kibao cha DDC/Nico Zengekala:-

Solemba Solemba Solemba aaaaaaaa

Sitakuwa nikifika nyumbani kwako,
Aibu niliopata ni kubwa sana,
Ahadi niliyopewa ilivunjwa,
Ooo hata bila kosa.

Ulinipa ahadi tukutane kwenu,
Nikitumaini nimewahi,
Nilichopata kwako ni matusi,
Oooh oo na dharau tele,

Ungenieleza ukweli Solemba,
Kuliko kunidanganya Ooh,
Najuta kuitimiza ahadi,
Oooh ambayo si ya kweli. x 2

Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh,
Ila dharau uliweka mbele Solemba.

Ulinikana mbele za watu ati hunifahamu,
Ndugu zako na marafiki walianza kutoka nje,
Waliponiona ni mimi,
Walishangaa sana mama,
Mbona hivyo Solemba x 2

Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh,
Ila dharau uliweka mbele Solemba.

Nilipouliza mbona ulinitendea hivyo Solemba?,
Ulisema mimi hujipendekeza kwako tena sana,
Na kuwa hunipendi,
Nakusumbua bure mama,
Mola yupo Solemba,
Eloi yupo mamaaa

Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh,
Ila dharau uliweka mbele Solemba.

Nilichomwa na jua toka asubuhi,
Mpaka saa nane Solemba,
Sababu ya kukungoja wewe,
Kumbe ulikuwa ndani,
Unachungulia dirishani,
Huna huruma Solemba,
I shall never forget you mamaa,

Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh,
Ila dharau uliweka mbele Solemba.

Sikutaki tenaaa sina haja nawe,
Nimeshapata mwingine anayenipenda kwa roho moja,
Tafuta bwana mwingine utakaeyembabaisha kama mimi,
Nimeshituka Solemba,

Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh,
Ila dharau uliweka mbele Solemba.
Lala lala lala lalalaaaaa
Nimeshapata mwingine anayenipenda kwa roho moja,
Tafuta bwana mwingine utakaeyembabaisha kama mimi,
Nimeshituka Solemba,
Lolo lolo lolooo mamaa

Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh,
Ila dharau uliweka mbele Solemba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom