Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Mwache bwana hujui anachokitaka mkuu unaroho mbaya wewe ningekuwa mimi.Ningemwambia ngoja nitoe suruali ili zipu isimumize.
 
ebwana ningekuwa mimi ningekubali ili nione mwishowake ni nini. kama ni kulala tu its ok ila kama anataka kubembelezwa hapo ndio kasheshe. But majaribu hayana budi kutokea na inabidi uyasinde ila pia imeandikwa ole wake asababishaye majaribu.
 
Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe ninachokipata huyu demu anasema anasikia usingizi sana bcoz jana hakulala kwa kuhofia kupitiwa na usingizi,sasa ananiomba anilalie mapajani ili japo apate kupumzika,nilimkubalia japo uvumilivu ulinishinda maana ile kuweka kichwa juu ya zip tuu
Jogoo kawika,nikasingizia nimebanwa kichomi so ainuke avumilie tukifika Dom mie ntasimama nimpishe alale mpanga singida,but hili wazo kalipinga kwa hoja kali!sasa anasema atalala mwanza na bcoz yeye ni mgeni anaomba kampani yangu.
Kwa kifupi huyu mtoto anakwenda kwao likizo na anafanya kazi(wizara ya ulinzi Dar)inaonyesha kama ni mjeda fulani hivi na pia anapete ya ndoa ya silver.
Naomba mnishauri anilalie zipuni au nimchomolee?

Kama vipi mchomolee tu!
 
hahahah...jamaa kanogewa!!
Mi na mke wa mtu mbali mbali kabisa...nikishaona tu pete ya ndoa basi system zote za umeme zinabuma!! Kitu kinasinyaa..

kumbe huwa unakimbilia huku siyo ukishaona kule kwenye jukwaa la siasa kunawaka moto siyo unapenda mambo ya uzinzi kama yule kiongozi wenu wa Iramba
 
wandugu nimejaribu kumchimba huyu mtoto ndani zaidi kaniambia hii pete ya ndoa aliyovaa kaifanya kama defense kwa wanaume wakwale,so kwa kifupi yeye hajaolewa na yupo single,kapiga depo mwaka jana na ndio likizo ya kwanza anaenda hm.Kanikaribisha kwao weekend na amesema nisiwe na wasiwasi niwe free.
So leo itabidi nimkampani tukifika Mwanza then morning achape mwendo,nimeona sina haja ya kumkimbiza kuku wangu juani wakati jioni ataingia bandani!
Kwanza j,2 lazima nimuibukie,kwa leo ninae but itabidi nisimuonyeshee u-fisifisi wangu ila nisimpeperushe ndege wangu!
 
Back
Top Bottom