Dem mchunaji

John Gelas

Senior Member
Apr 25, 2012
168
7
Jaman nsaidien wana jamii dem nlienae kila siku ananiomba vocha then anadai ananpenda xana!nfanyaje?
 
Ambassador ana tatizo more or less the same na hilo lakwako...hebu chungulia wamemjibu nn...
 
Vijana wa siku hizi sijui mme kaa vipi, mbona hawa wanawake siku hizi wanawachezeni sana.
 
Ata kama vitu vimepanda bei kivp,but awa madem wamezd jaman uwiiii!ntakua single now
 
Mkuu ni voucher za kuchukulia zile wanazoita bembea sijui pembembejeo za kilimo au?! Wewe bila shaka utakuwa bwana shamba wewe, na yeye labda anapenda kilimo. Endelea kumuwezesha mkuu, wanasema hiyo jinsia wakiwezeshwa wanaweza!
 
Tatizo mnapenda kukimbia gharama haraka! Haya wewe kua singo ujaze sabuni bafuni kwako basi!!!
 
KUWA NA HAKILI, HIYO VOCHA ukimtumia anakucall wewe au laa?, au ukipiga anakata alafu anapiga yeye kwa kutumia iyo vocha uliyomtumia au laa?, ukijibu hayo qns. nitarudi mkuu
 
mind you; ukiona demu yoyote munapoanza relationship anatanguriza money sepa fasita. apo ushaliwa mkuu
 
Muwezeshe mkuu, mpe mwelekeo, we ndio kichwa cha familia mbona unakimbia majukumu kijana?
 
Back
Top Bottom