Je, ulishindwa kula tunda kimasihara?

jastertz

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
392
743
Hii ni opposite thread ya ile ya kula tunda kimasihara.

Kuna wakati tumewahi kuwa kwenye mazingira yenye opportunity ya kula/kuliwa tunda kimasihara ila tukashindwa/kuponyoka.

Binafsi nilishapata opportunity hiyo kwa dem na nikashindwa.

Opportunity ya dem niliipata nikiwa field 7 years ago mkoa flani wa kanda ya kati. Siku moja tumetoka ofisini, nikaongozana na mwenzangu wa kikewa chuo flani ambaye tulikua tukipiga nae field. Getto kwangu ilikua ni karibu na ofisi ila kwa dem ilikua mbali. Nikamwambia apitie getto tupike pale tule kisha ndo nimsindikize kwake. Akakubali.

Aliingia getto, nikataka kupika akasema niache apike yeye. Kiliiva mida ya saa moja tukala kwenye sahani moja. Tulipomaliza, tukapiga story mbili tatu, shetani likaanza kunipanda nilipoona paja lake(alikua kavaa kisketi kinachofika magotini kwa chini kidogo, so akikaa kinapanda... Nikamwambia ninaomba nimpe zawadi ya hug since kanipikia chakula kitamu sana. Kweli alisimama nika mhug tightly sikuona upinzani, nikaanza kupapasa mgongoni kuelekea kwenye kijungu chake, akanipa ushirikiano. Nikaanza romance, akaisikilizia kwa muda huku akitoa ushirikiano... Then akajitoa kifuani akasema.. 'that's what I can give you for now'.. Akaanza kuchukua kibegi chake aondoke.

Kila nikimsogelea kutaka kumfanyia jambo akawa anakataa.. Nikasema isiwe kesi, nikamwacha aende. Nilikuja kukaa miaka miwili nikamtongoza ndo nikaja kumla baada ya kuwa dem wangu kabisa.

Je kuna situation uliyowahi kushindwa kula tunda kimasihara?
 
KUWA MBUNIFU SIYO UNADANDIA DANDIA IDEA ZA WATU
 
Huu uzi umenikumbusha mbali sana, kuna mtu mmoja alikuwa ananipenda sana tangu nikiwa chuo lakini alikuwa haniambii kitu,. Nakumbuka kuna siku aliniita room kwao nikaenda akafurahi nankulikuwa hakuna mtu mwingine zaidi yake, akaniambia anaenda kuoga alivyorudia akawa anavaa na mm nikawa nimejidai nimelala kitandani baadae akaniambia twende tukatembee tukaenda. Nakumbuka wakati tunarudi alikuwa akinishika bega mara kiuno na mm nilikuwa namuangalia maana nilielewa anachotaka yaan ilikuwa vitendo tuu ikafika mahali akanikumbatia nilifurahi sana jamani sema ila tunda hakula alikuja kula tulipokutana Dodoma kikazi hahahha, alijiona mshindi mbwa yuleee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom