rebeca joseph
Member
- Apr 13, 2023
- 10
- 7
Wakuu naomba ushauri kuna dogo langu limesoma clinical medicine diploma sasa ana miaka 24 anataka kwenda degree ya clinical nutrition ya miaka mitatu SUA vip inafaa wakuu ushauri wenu
Make sure Yuko vizuri lasiivyo ataita maji mmaSorry ndio ni Human nutrition nimekosea