Clinical nutrition and dietetics at UDOM

shashula

Member
Feb 21, 2022
65
26
Wadau naomba ushauri juu ya programu ya bachelor of science in clinical nutrition and dietetics inayotolewa UDOM ina ubora zaidi ya ile bachelor of NUTRITION inayotolewa SuA ama ziko sawia kimasoko
 
Ni ngumu sana kulinganisha ubora na faida ya kozi zisizohusiana. Chagua kozi unayoona ni bora baada ya kusoma vizuri prospectus ya kila chuo, ukajua utakuwa nani na wewe unataka kuwa nani?
 
Hakuna degree yenye ubora zaidi ya nyingine
NB;kuna mtu kasoma sociology UDOM ila ameajiriwa na analipwa vzuri kwenye international organization kuliko aliesomea MD muhimbili
 
Hakuna degree yenye ubora zaidi ya nyingine
NB;kuna mtu kasoma sociology UDOM ila ameajiriwa na analipwa vzuri kwenye international organization kuliko aliesomea MD muhimbili
Nakufundisha siku nyingine usijifanye mjuaji na kua mbishi kama hauna details za kutosha kwenye jambo husika
 
Back
Top Bottom