Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Asante mkwe, usijali hiyo moja nitaUNGAMA, kwa hiyo nitasamehewa pia (si unajua hata dhambi ikiwa nyekundu kama damu itasafishwa iwe nyeupe kama theruji?)Marhabaa mkwe wangu. Sasa najisikia raha, na nimeshaongea na Mungu usamehewe dhambi zako zote ulizotenda na utakazotenda kesho. Isipokuwa moja tu.