Deference between been single and married

Marhabaa mkwe wangu. Sasa najisikia raha, na nimeshaongea na Mungu usamehewe dhambi zako zote ulizotenda na utakazotenda kesho. Isipokuwa moja tu.
Asante mkwe, usijali hiyo moja nitaUNGAMA, kwa hiyo nitasamehewa pia (si unajua hata dhambi ikiwa nyekundu kama damu itasafishwa iwe nyeupe kama theruji?)
 
Dhambi zote zitasamehewa isipokuwa kukashifu Roho Mtakatifu.
Sorce: Yesu

Na kumkashifu Roho mtakatifu ni kwa mkwe wangu kufanya infidelity na kivulana!(Hata shetani huwa anafumba macho asione hiyo makitu asee)
 
Tofauti yake ni herufi moja tu: babies (to married)na babes (to single).
 
Dhambi zote zitasamehewa isipokuwa kukashifu Roho Mtakatifu.
Sorce: Yesu

Na kumkashifu Roho mtakatifu ni kwa mkwe wangu kufanya infidelity na kivulana!(Hata shetani huwa anafumba macho asione hiyo makitu asee)
Nimeelewa Mkwe.
back to the topic, mbona huyo aliyebeba watoto hajatabasamu kama huyo mwingine aliyebeba "watoto"?
 
Mi na mkwe wangu Fixed Point tushakuwa wakubwa sasa. Tunasubiria vijana wetu waoane. Nshamuahidi sitachukua mahari........

asiee nilikuw najua we ni mzee wa mila na mila zetu haziruhusu kutoa bure karene hii anaweza kuwa jinadume gumegume kila siku likiamka asubuhi linamwambia mtoto wako ndio maana nilipewa bure
aisee chukua hata mahari kidogo asiee hata ile ya kutamkwa tu kama hajalipa ndio yeye atakuwa anaambiwa lione ndio maana hujanimalizia mahari mapaka leo ntarudi kwetu
 
Last edited by a moderator:

Shhhiiiiiiiii!! Mahari tunalipana kisirisiri na Fixed Point. Nadhani ushaelewa sasa? Yatupasa kujua watoto wataenda kupata nini kwakuwa like watoto like wazazi..... Fixed Point usije huku tafazali.
 
mkwe hii sijaona, nimegonga like tu, umesemaje kwani?

Aisee hii hii mada ya Deference between been single and married ni pana sana au sisi ndio tumetoka nje ya mada
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom