Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,050
Ndahani si umeambia ni ded nzuri kwa msichana umpendae..... Kasheshe if your lady sio msichana ni mdada.... lol
Tofauti ya mdada na msichana ni nini? Hivi kumbe nilikwambia! Nilishasahau
Ndahani si umeambia ni ded nzuri kwa msichana umpendae..... Kasheshe if your lady sio msichana ni mdada.... lol
Wacha nikimbie hapa :cool2:Khaa??? Mbona unaniangusa mimi nisha anza kukufagilia kwa Konny? lol
anasingiziwa sana kwa kweli.
Nasikia aliwahi ona tukio akapigwa butwaa 'Jesus'
ana bahati sana, huwa namsoma.
(Nakunong'oneza wengine wasisome hata yeye), ila anaonekana huwa anakula sana chakula cha usiku, nilishamsoma mahali fulani.
we wanaume humewasahau? kwan wana misimamo basi
we wanaume humewasahau? kwan wana misimamo basi
Au sio yani lazima tuwaheshimu wake zetu,
Wacha nikimbie hapa :cool2:
Tofauti ya mdada na msichana ni nini? Hivi kumbe nilikwambia! Nilishasahau
Hata mimi chakula cha usiku nimeshtukia.... Tena lazima agusie hata kama mchana.... Mimi nina wasi hata between meals huyu ni kwa sana. lol.... I hope hata hii hatasoma.
Yamekua hayo tena? Mbona leo umekua mwoga? I don't bite..... lol
wakiwa wamevaa wana misimamo sana, ole wake wawe na suti ya kuzaliwa, kitu kidooogo, huendesha misimamo yote.
anatisha kwa kweli,
ulishawahi ona mwanamke kaondoka kwake wakati kila kitu kipo na hateswi?
Niliwahi ona, akasema hawalali wanakula tu lol.
topic closed, asije soma bure.
C'mon Pal acha kunitega...lol... Msichana na mdada na mmama wapo sawa kweli?
ha ha ha, umemshika pabaya
we wanaume humewasahau? kwan wana misimamo basi
Oooh, labda nilisahau kabisa. Asante kwa kunikumbusha...wote hawa wanatofautiana na muhimu kuzingatia uko na nani na kwa wakati gani,ingawa namfagilia mdada.
mh hapo sasa, ndo inategemeana na misimamo maana mingine daah pasua kichwaWapo wenye misimamo dearest... ni ujanja tu wa kuchagua na uwe realistic.... Mf. shemjioa na misimamo kweli kweli.... ila hio misimo thatha.... sijui kama wee utaiweza.....eep:
sio wanawake wote wanamisimamo ila wanaume ndo hali mbaya na mbaya zaid amkosi visingizioTehe!tehe!tehe! Na wanawake wote wanamsimamo?? Tusihukumu bali tuwe tunatoa mifano hai na kushauriana!!
mh hapo sasa, ndo inategemeana na misimamo maana mingine daah pasua kichwa
Tehe!tehe!tehe! Na wanawake wote wanamsimamo?? Tusihukumu bali tuwe tunatoa mifano hai na kushauriana!!