Dedication nzuri kwa msichana umpendaye

anasingiziwa sana kwa kweli.

Nasikia aliwahi ona tukio akapigwa butwaa 'Jesus'

Haahaaa! Itakuwa ni yale mambo ya david cameron. Jamaa wale nao huwa wanazama chumvini ndo hapo napo choka. Chumvi yenyewe inapopatikana sasa! Mmmh shetani asichanganyikiwe mchezo.
 
ana bahati sana, huwa namsoma.

(Nakunong'oneza wengine wasisome hata yeye), ila anaonekana huwa anakula sana chakula cha usiku, nilishamsoma mahali fulani.

Hata mimi chakula cha usiku nimeshtukia.... Tena lazima agusie hata kama mchana.... Mimi nina wasi hata between meals huyu ni kwa sana. lol.... I hope hata hii hatasoma.
 
we wanaume humewasahau? kwan wana misimamo basi

Wapo wenye misimamo dearest... ni ujanja tu wa kuchagua na uwe realistic.... Mf. shemjioa na misimamo kweli kweli.... ila hio misimo thatha.... sijui kama wee utaiweza.....:peep:
 
anatisha kwa kweli,
ulishawahi ona mwanamke kaondoka kwake wakati kila kitu kipo na hateswi?

Niliwahi ona, akasema hawalali wanakula tu lol.

topic closed, asije soma bure.

Hata mimi chakula cha usiku nimeshtukia.... Tena lazima agusie hata kama mchana.... Mimi nina wasi hata between meals huyu ni kwa sana. lol.... I hope hata hii hatasoma.
 
wakiwa wamevaa wana misimamo sana, ole wake wawe na suti ya kuzaliwa, kitu kidooogo, huendesha misimamo yote.

haswaa we unawapa vilivyo pia muelekeze na da asha dii maana kawasahau kidogo, wakimalza wanamsingizia shetan ooh nilipitia oooh aahhh unajua uvumiliv ooh alinitega...
 
anatisha kwa kweli,
ulishawahi ona mwanamke kaondoka kwake wakati kila kitu kipo na hateswi?

Niliwahi ona, akasema hawalali wanakula tu lol.

topic closed, asije soma bure.

Nimechekaje???? hahahaha..... hahahaha... Dah!

Hizi ndoa hizi bana wee acha tu! baba yangu mdogo kabisa kwa baba alioa mke wake alikaa seven days....lol Ils sijui kama sababu itakua ni kukesha wa kila, Hivi you have mentioned inanifanya niwe na homwek.
 
C'mon Pal acha kunitega...lol... Msichana na mdada na mmama wapo sawa kweli?

Oooh, labda nilisahau kabisa. Asante kwa kunikumbusha...wote hawa wanatofautiana na muhimu kuzingatia uko na nani na kwa wakati gani,ingawa namfagilia mdada.
 
Oooh, labda nilisahau kabisa. Asante kwa kunikumbusha...wote hawa wanatofautiana na muhimu kuzingatia uko na nani na kwa wakati gani,ingawa namfagilia mdada.

mmmh! kwa hio wewe wasichana ni off the list? Mbona hio ndio most men wapenda... wewe nini kimekutoa huko? lol
 
Wapo wenye misimamo dearest... ni ujanja tu wa kuchagua na uwe realistic.... Mf. shemjioa na misimamo kweli kweli.... ila hio misimo thatha.... sijui kama wee utaiweza.....:peep:
mh hapo sasa, ndo inategemeana na misimamo maana mingine daah pasua kichwa
 
Tehe!tehe!tehe! Na wanawake wote wanamsimamo?? Tusihukumu bali tuwe tunatoa mifano hai na kushauriana!!

Takriban wanawake wote duniani ni ,
Baba mmoja!
Mama mmoja!
O/wise , wanapishana vijimambo vidogovidogo tu! Bt kwa yale ya kimsingi hawatofautiani !
Kama unabisha
kaandamane !
Na ukiandamana unamtomasa Kova saburi !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom