Kabota
Member
- Aug 15, 2009
- 63
- 10
Yeah leo lazima yule gf wangu kutoka uchagani anifungulie mapaja tu :cool2:
Jana nilisoma somewhere mkeo unamuheshimu na hakuruhusu.... Imekuaje Fazaa? lol
Ahhh natania tu, sina cha gf wala nini :cool2:Jana nilisoma somewhere mkeo unamuheshimu na hakuruhusu.... Imekuaje Fazaa? lol
kama kawaida, kapitiwa na shetani kwa hiari.
kama kawaida, kapitiwa na shetani kwa hiari.
Hivi Konnie umesoma Misimamo ya Fazaa? Mke wake ana bahati sana aisee....lol (kama kweli atelekeza)
Si unajua tena shetani anavyo nanua kesi we wacha tu :cool2:kama kawaida, kapitiwa na shetani kwa hiari.
Hivi Konnie umesoma Misimamo ya Fazaa? Mke wake ana bahati sana aisee....lol (kama kweli atelekeza)
What is it?
Si unajua tena shetani anavyo nanua kesi we wacha tu :cool2:
Au sio yani lazima tuwaheshimu wake zetu,Hivi Konnie umesoma Misimamo ya Fazaa? Mke wake ana bahati sana aisee....lol (kama kweli atelekeza)
Shetani tunamsingizia mambo mengine wala hayamuhusu
we wanaume humewasahau? kwan wana misimamo basi
Ahhh natania tu, sina cha gf wala nini :cool2:
Kabisa kabisa, si utani.vingine huwa anasingiziwa, hata yeye huwa havijui ila anakosa pa kujitetea tu.