Hahaha, itakuwa asee..lol.haha!haha! Devil in the bed, ndo mambo ya tigo au?
Hawa vijana wana mpango mahsusi wa kutufanya tuchukie ndoa zetu, na kukimbilia huko kwenye nyumba ndogo tukachunwe tulichonacho na kupewa zawadi ya magonjwa yasiyo na tiba, halafu baadaye waanze kutucheka; Ohhh baba zima linaangukia kwenye kident!
Haki ya nani, hatudanganyiki ng'oooo!
haha!haha! Devil in the bed, ndo mambo ya tigo au?
MC hiyo ndoa ulifunga mwaka gani aise
mbona unajipa ujiko usio kuwa nao
Mleta mada inawezekana ameoa na hiyo ndiyo experience yake au ni kijana anayetamani kuoa lakini anaposoma vitabu vya ulaya na marekani kuhusu ndoa hayo ndiyo anayokutana nayo hivyo anajihukumu mwenyewe. Sisi ambao tuna almost 15 years kwenye ndoa zetu tunachukulia changamoto za marriage positive na kama driving force inayotufanya tuwe creative na hatimaye kudumisha ndoa. Ndoa siyo uwanja tambarare na siyo ndoa tuu hebu jaribu kukaa nyumba moja na mama yako au baba yako au kaka yako baada ya 18yrs uone kama hamtagongana. Any relation that involves two or more people living close to each other has challenges vivyo hivyo na ndoa.
Mkuu umeona eehhh kila kitu ni negative tuu hakuna jema hata moja tunalofaidi