Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,121
- 2,064
Tanzania ufisadi hautaisha kwa sababu kila mtendaji serikalini anajiangalia yeye na familia yake. Huwezi kuamini lakini ni ukweli uliodhahili kuwa walimu walioajiriwa tangu 2011 katika halmashauri ya Morogoro bado wanapokea mishahara sawa na ajira mpya. Kwa kawaida walimu hao walistahili kuwa B3 - cheti, C3 - diploma na D3 - degree. Hivi chama cha walimu kimeridhika na ufisadi huu? Walimu wanazuiwa kujiendeleza at the same time wanahubiri BRN. Nani atawajibika kwa moyo kama hali ndio hii. Kwanini ni DED - Morogoro sio pengine?