DED morogoro ni mafisadi wa elimu

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Tanzania ufisadi hautaisha kwa sababu kila mtendaji serikalini anajiangalia yeye na familia yake. Huwezi kuamini lakini ni ukweli uliodhahili kuwa walimu walioajiriwa tangu 2011 katika halmashauri ya Morogoro bado wanapokea mishahara sawa na ajira mpya. Kwa kawaida walimu hao walistahili kuwa B3 - cheti, C3 - diploma na D3 - degree. Hivi chama cha walimu kimeridhika na ufisadi huu? Walimu wanazuiwa kujiendeleza at the same time wanahubiri BRN. Nani atawajibika kwa moyo kama hali ndio hii. Kwanini ni DED - Morogoro sio pengine?
 
Morogoro kama we ni kondoo watakutumikisha sana tu.Kwenye semina moja tulipewa 5000 tukazigomea,tukaandikishwa barua bahati nzuri ikikosewa unatumia mwanya huohuo kukana mashitaka.i
 
Tanzania ufisadi hautaisha kwa sababu kila mtendaji serikalini anajiangalia yeye na familia yake. Huwezi kuamini lakini ni ukweli uliodhahili kuwa walimu walioajiriwa tangu 2011 katika halmashauri ya Morogoro bado wanapokea mishahara sawa na ajira mpya. Kwa kawaida walimu hao walistahili kuwa B3 - cheti, C3 - diploma na D3 - degree. Hivi chama cha walimu kimeridhika na ufisadi huu? Walimu wanazuiwa kujiendeleza at the same time wanahubiri BRN. Nani atawajibika kwa moyo kama hali ndio hii. Kwanini ni DED - Morogoro sio pengine?
tatzo pia walimu wenyewe wengi hamjui mnachodai, kwa mf. nani kakwambia hao walimu walitakiwa kuwa B,C & D-3 wkt wameajiriwa 2011 na mwaka huu bado ni 2013/14. unajua kwamba mfnykazi akiajiriwa anakuwa ktk majaribio c zaidi ya mwk 1?. Je, wajua kwamba serikali ikiongeza mshahara ktk mwaka fulani, haitakiwi kutoa nyongeza ya mwaka(increment ie ABCD_1,2,3nk) ktk mwk huo husika?. Mwl kuzuiwa kusoma si dhani kama ni rahisi lkn pia kusoma kwa mfnykz c kwa faida yake tu, ni pamoja na mwajiri wake hvyo lzm kuwe na utaratibu wa kufuatwa. Tatzo halipo DED MORO peke yake, lipo halmashauri krb zote nchini
 
Nakubaliana na wewe, lakini mbona walioko Dar wameshafikia hizo incliment? Na ruhusa mbona wanapata?
 
Hahahaaa! Sio huko tu sisi wa kwa katibi mkuu wengine tuna miaka 5 bado B1!
Kuna csta wangu huu mwaka wa 11 yuko C2. Tunasikia kuna waraka wa kutuhamishia halmashauri tutashukuru ukitekelezwa.
 
Back
Top Bottom