frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
out? in?
kama ndio bac tumekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chama dume, na kama changoja naye akilamba uIGP tukivuka 2015 salama bila... bac mungu ashukuriwe sana, kwani maamuzi ya hawa ni ya kibabe sanaa yasiotumia hekima na busara.Isaya Mngulu amrithi DCI. Robert Manumba ambaye amestaafu rasmi kwa mujibu wa Sheria..