DC Mbarali apigwa mawe, anusurika kifo!

Chadema wanahizika kwa asilimia zote na fujo hizo za kitoto hawana adabu kabisa
 
Ndio matokeo ya semina elekezi? Kwani ilikuwa lazima tamko la kufunga chuo alitoe yeye? Au ilikuwa ni lazima akalitolee palepale chuoni?
 
Ndio matokeo ya semina elekezi? Kwani ilikuwa lazima tamko la kufunga chuo alitoe yeye? Au ilikuwa ni lazima akalitolee palepale chuoni?

Alitaka kuonekana kwenye vyombo vya habari.matokeo yakawa tofauti.
 
na yeye atamfuata mwenzake mama hawa aliyeua wafungaji kwa kutii amri ya wakuu wake leo hii kawaacha wanaendeleza sitarehe yeye akitangulia kutumikia adhabu aliyoifanya mbarali
 
Uongozi bora ni kufuata Utaratibu na Sheria...na Busara ni Muhimu zaidi... Upande wa DC kwa aina fulani anaweza akawa Sawa ila uamuzi aliuchukua haujakaa kisiasa sababu wamekatazwa kuegemea kwenye Siasa sasa yupo ki fact zaidi ni kosa kuendesha Chuo au Shule isiyosajiliwa na Wanafunzi wanatakiwa kuondoka fasta na Mkuu au mwenye Chuo au Shule ashitakiwe na kesi isichukue Muda mrefu kwa hawa Mahakimu wa Lissu(Ajua QPR Wanachomoa Goli Man City 1 - 1 QPR Zamora dk59) Tunaendelea.. ila alichofanya DC ni papara zake ili aonekane yupo juu na wamjue vizuri so hapo Busara alizikalia eeh(Man City Wanapata la Pili Dzecko) Sasa DC yaliyompata ni kujitakia na Wanachuo Wana makosa yao Pia japo ni Hasira kwa kila binadamu humtokea... Watasamehewa wakitubu makosa
 
Kuchuna ngozi watu miaka ya nyuma?? Nayo umesahau? Kupiga nondo watu kwa imani ya kibiashara. Wengine wataongezea..
MATUKIO MBEYA
1.JK alipigwa mawe
2.mama Salma kurushiwa makopo ya maji mwanjelwa
3.waziri Shamsi V.Nahodha alipigwa mawe tunduma.
4.Mbunge viti maalum CCM aliokolewa na polisi mwanjelwa.
5.Kandoro aliambiwa aondoke
6.Dc mbarali kupompolewa mawe.
Hayo ndio matukio makubwa ninayokumbuka watu hawajifunzi tu.kweli wamechoka
 
Tatizo la hawa ma-RCs & DCs wanapenda kutumia ubabe kuliko busara.. Inawezekana kweli hiko chuo kikawa na matatizo bt huyo DC ameshindwa kutumia busara katika kutoa maamuzi ndani ya kikao cha ndani baada ya ukaguzi..? Unaporopoka hadharani tena kwa majidai na madharau wakati kuna wanafunzi waliowekeza future yao hapo unategemea nini..? Dawa ni kuviondoa hivi vyeo vya kupeana..

Sent from Rawalpindi..
 
Kuchuna ngozi watu miaka ya nyuma?? Nayo umesahau? Kupiga nondo watu kwa imani ya kibiashara. Wengine wataongezea..

nilimaanisha matukio ya viongozi mkuu,hayo uliyotaja mbona mbeya ni kawaida sana mpaka ya kuchoma moto wachawi yapo.
 
Mkuu, jana jioni defender mbili za FFU zilipita wangu wangu na siraha/ mabomu ya machozi hapa eneo la ccm (Mbeya) kwenda Kumuokoa huyo magamba. Leo hii muda huu ndo tena wanapita hapa askali woote wamepauka usoni kwa sababu ya kupambana wapigania haki wa elimu katika bonde la Usangu. Mwaka huu ni mbaya kwa magamba katika mkoa wa Mbeya.

Usitudanganye Eleza ukweli mwingine Ana silaha mwingine ana jiwe kweli mwenye silaha atarudi amepauka USO! Kumbuka silaha ilitengenezwa ili iue au itishe
 
Usitudanganye Eleza ukweli mwingine Ana silaha mwingine ana jiwe kweli mwenye silaha atarudi amepauka USO! Kumbuka silaha ilitengenezwa ili iue au itishe

mbona wakimbiza mwenge na wasindikiza viongozi kwenye misafara wana silaha lakin wanapauka.ndo maana hata wanaoingia polisi ni waliofeli shule.
 
Back
Top Bottom