Ndyali
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,661
- 948
Hawachelewi kusema ni chadema
Mkuu, watakuwa hawajakosea kwa sababu CHADEMA imewaelimisha wtz. kujua haki zao kuzitetea na kama ikibidi kuzipigania.
Hawachelewi kusema ni chadema
Hawa watawala inabidi waangalie namna ya kufanya kazi na wananchi, wasichukulie kuwa nyakati zimeganda. Wakae wakijua raia wana hasira na wanatafuta sehemu ya kuzitolea. Mfano angeweza kabisa kusaidia chuo kisajiliwe ili kitoe huduma kihalali badala ya kukifunga.
Wasiwasi wangu watasema CHADEMA
Mkuu Domy hawa watu walikuwa wanatumika sana enzi za ukoloni mwalimu alikopy na kupeste kwenye serikali yake sasahivi nimzigo tu kwa walipa kodi vyeo hivi tupigane kwenye katiba vifutwe tubaki tu na wakurugenzi na tuanzishe majimbo yatawaliwe na magavana tena wachaguliwe na wananchi mkuu.watatunga sana kazi lakini mabadiliko yamewadia
Hao wanafunzi watakuwa wanavuta bangi tu. Haiwezekani umpige mawe mtu ambaye ana umri sawa na wazazi wako. Mitoto ya siku hizi haina adabu kabisa kwasababu ya mindumu.
DC ana mamlaka ya kufunga chuo cha uuguzi?
Umeona eeh...afu watu wazima humu wamekaa wakishabikia huo upuuzi.
hahahaaaaaaa mbafu sangu mieHao MaDC Kazi yao kuvaa suti zilizoshonwa chini ya miembe.
Mkuu wa wilaya ya mbarali mkoani mbeya amenusurika kifo baada ya gari lake kupigwa mawe na kuchomwa matairi kwa kutumia misumari.
Balaa hilo limemkuta baada ya kutoa amri ya kufungwa kwa chuo cha uuguzi cha red cros kilichopo wilayani hapo kwa madai kwamba hakina usajili.
Baada ya kutoa amri hiyo na kuondoka wanafunzi walisimamisha gari na kuanza kumshambulia kwa mawe.
Mpaka sasa polisi inashikilia wanafunzi 32.
Source 1:E.born fm
2.niko mbeya
siku hizi kuna mijitu mizima hovyooo mingi tu imejaa ndani ya ccm,hovyo kabisaHao wanafunzi watakuwa wanavuta bangi tu. Haiwezekani umpige mawe mtu ambaye ana umri sawa na wazazi wako. Mitoto ya siku hizi haina adabu kabisa kwasababu ya mindumu.
wewe ndo mindumuHao wanafunzi watakuwa wanavuta bangi tu. Haiwezekani umpige mawe mtu ambaye ana umri sawa na wazazi wako. Mitoto ya siku hizi haina adabu kabisa kwasababu ya mindumu.