DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,718
Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe.

Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa''

Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay. Nakwenda kumwambia DC kwamba umesema hakuna tatizo lililotokea.

Sasa yule jamaa alipoondoka mimi nikafikiri[ kwa dakika moja], halafu nikaamua kuondoka Butiama. Sasa nipo Arusha.

Again, DC wa Butiama amemfukuza kule mtoto wa Mwalimu Nyerere.
 
Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe.
Imetokea Jumatatu asubuh[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia'' DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa''
Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay. Nakwenda kumwambia DC kwamba umesema hakuna tatizo lililotokea""
Sasa yule jamaa alipoondoka mimi nikafikiri[ kwa dakika moja],halafu nikaamua kuondoka Butiama. Sasa nipo Arusha.
Again,DC wa Butiama amemfukuza kule mtoto wa Mwalimu Nyerere.
Kwa hiyo tatizo halijafahamika?
 
Kwa hiyo tatizo halijafahamika?
Kama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.
Unakumbuka jana au juzi au lini,ulifanya nini? Ulifanya hivi na hivi. Unabisha?
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything. Hata sijui nijibu nini.
Kwa hiyo I have to be silent. I have nothing to say.
Na hata kama yule mtu ananieleza complaint zake ni nini. I will only answer serious complaints. Siyo mambo ambayo watu wanazungumza kwa maskhara.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
 
Okay - pole. Kunguru huponywa na mabawa yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom