DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
502
Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa.

Kuna Ndugu yangu anaishi hapa Nyuma ya Ukuta Wa Dawasco Kimara, anasema yaani Mtaa Mzima hakuna mwenye akiba ya Maji ndani. Watu wameshindwa kufua wikend hii kisa hakuna maji.

Kama huu ni uzembe wa Mtu fulani nashauri Waziri wa Maji amtumbue mapema Ili wezembe wengine wajifunze pia. Hali zipoje maeneo mengine Dar leo kuhusu maji.
 
Uongozi wa dawasco mbovu sana haiwezekani tatizo linalotokea wanakaa siku mbili zinapita wanakuja kutoa taarifa siku ya tatu ambayo ni Jana jumamosi, na taarifa yenyewe haieleweki
 
Sasa wanafikiria maji tutapata wali aisee?
,Hawa wenye mamlaka ya kusimamia maji ni wa kufutwa wote kabisa wawekwe wengine.Wakija kudai bili utafikiri ugonvi. sasa maji wakikata wanajifanya hawaelewi kitu
Uongozi wa dawasco mbovu sana haiwezekani tatizo linalotokea wanakaa siku mbili zinapita wanakuja kutoa taarifa siku ya tatu ambayo ni Jana jumamosi, na taarifa yenyewe haieleweki
 
Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa Dawasco Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa.

Kuna Ndugu yangu anaishi hapa Nyuma ya Ukuta Wa Dawasco Kimara, anasema yaani Mtaa Mzima hakuna mwenye akiba ya Maji ndani. Watu wameshindwa kufua wikend hii kisa hakuna maji.

Kama huu ni uzembe wa Mtu fulani nashauri Waziri wa Maji amtumbue mapema Ili wezembe wengine wajifunze pia. Hali zipoje maeneo mengine Dar leo kuhusu maji
Mmwana nitumia sms eti nilipe bill na kumbe maji yenyewe hamna
 
Back
Top Bottom