Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

Kwa bahati nzuri sana nilikuwa karibu sana na babu yangu mzaa mama, kuna siku nilimuuliza je babu nikiwa na kidude kidogo sasa nitaweza kufanya? ( i remember i was in class 4) akaniambia mjukuu wangu urefu na unene si hoja, hoja ni jinsi ya ufanyaji. nafikiri ni kweli haya mambo ya kurefusha mpaka nchi 8 inakuwa kubwa zembe.

ila wakuu kakiwa kafupi sana chini ya nchi 3 inakuwa kero nafikiri standard ni inchi 4.5 kuenda mbele - mnasemaje wadau?, Hebu tusikie kitu toka kwa ladies watuambie urefu ambao ni standard ili tuweke viwango. sasa ambao watakuwa chini ya kiwango tuwaruhusu waende kwa wamasai kurefusha.
 
well said ELNINO, sio mpaka mtu unaisikilizia kifuani bana!
 
sisi ladies tunajali utaalamu wako na si urefu au upana, unaweza ukawa na kirefu kinene lakini kesho nisikurudie....yu no wora i min
 
Ndugu sikiliza bana. Hakuna dawa ya kweli ya kurefusha au kunenepesha dhakari. Njia pekee ya kuongeza ukubwa wa dhakari yako ni kufanyiwa upasuaji wa plastiki (plastic surgery) au penile enlargement surgery. Kwa hapa Tanzania sidhani kama kuna wataalamu wa huu utundu.

Hayo madawa ni magirini tu. Utaliwa hela yako hadi utie akili.
 
sisi ladies tunajali utaalamu wako na si urefu au upana, unaweza ukawa na kirefu kinene lakini kesho nisikurudie....yu no wora i min

...No, We dont! ElNino ameuwauliza mtuambie urefu ambao ni standard kwenu...IN NUMBERS, Pleaaseee!:A S tongue:
 
Halafu nadhani kila mwanamke ana upendeleo wake. Wapo wanaopenda kubwa, wapo wanaopenda za wastani, wapo wanaopenda za kama farasi, wapo ambao hawajali ili mradi anafika kunako n.k. Huwezi ukasema kwa ujumla wanawake wote wanapenda za hivi au vile au hiki au kile.

Kuna ambao hata ufanyeje kwa mwingilio (penetration) hawakojoi. Wanakojoa kwa kuchezewa kiharage. Wa hivi hata uwe dhakari kubwa au uwe stadi namna gani, huwezi kumridhisha bila kwenda downtown.

Haya mambo kwa kifupi yako complicated. Ni ya mtu na mtu. Hayana kanuni moja kwa wote.
 
Kuna msemo usemao kwamba, utamu wa kondoo mkia wake~haijalishi aidha huo mkia ni mrefu, mfupi ,mwembamba au mnene!.
 
Jamani dawa kama dawa za kumeza (vidonge) za kunywa (za maji) ni hatari sana, ukitaka kunenepesha na kurefusha uume kuna kitu inaitwa (penis pump) ni kitu cha kupampu pumzi na uume unanenepa na kurefuka kwa msaa si zaidi ya 5 kisha unarudi hali ile ile.
 
Hiyo kitu ni kama mchi (mtwangio) inategemea namna unavyotwanga...ridhika na size yangu, tafuta maujnja na mautundu utamrihisha mwenza wako. Ni kweli naweza kulirefusha lakini linakua mdebwedo matokeo yake inabdi utafute na dawa za kuongeza nguvu. Ndio mana muuzaji wa dawa za kurefusha anauza na za kuongeza nguvu.
 
Jamani dawa kama dawa za kumeza (vidonge) za kunywa (za maji) ni hatari sana, ukitaka kunenepesha na kurefusha uume kuna kitu inaitwa (penis pump) ni kitu cha kupampu pumzi na uume unanenepa na kurefuka kwa msaa si zaidi ya 5 kisha unarudi hali ile ile.

mnh?!:A S-eek:
 
Wana jamvini,nataka niwe na mridhisha mpenzi wangu vizuri,maana amekuwa akilalamika kuwa shaft aifiki inavyotakiwa,na imekuwa ikichomoka mara kwa mara wakati wa shughuli,...sasa ni fanye nini ilikuongeza ukubwa wa shafti...
 
ili iweje labda kibakuli kimezidi unga tafuta ufundi mwingine au jaribisha vingine vinavolingana
 
Back
Top Bottom