Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

2" hicho ni kinembe yaani visichana vinaona kajamaa kana clitoris kama zao duh
 
plastic surgery tuu hapo, inarudi kama ya 18yrs old, na inabaki hivihivo.

hapo kwenye red ni wale wenye maadili, sio wale wa mitaa ya Fidel

Hhahahahaha mzee mm napiga au nakula wote wa uswazi mpaka geti kali nafiligisa wote sibagui mie.
 
Jamani ndugu yangu mmoja ana tatizo.
Mtoto wake wa kiume umri 20 amekuwa na tatizo la kukimbiwa na visichana.
Ila last month imekuwa shida kwa sababu msichana wake amemsema vibaya mbele ya watu kisa: ka penis kake ni kafupi hakumuingii ndani yule msicha vya kutosha- kana urefu wa approx. 2 inches:
Swali ninaloomba kuuliza ma Dr. au wenye ujuzi-kuna njia/dawa au vyakula vya kula mtu akaweza kuongezeka urefu?
Na 2 je kuna njia ya kumfanya aweze kumridhisha mwenzie?Kwa sababu ana errect. Maana nina imani kwenye kuzaa haitoweza kuwa shida.
Natanguliza shukurani.
KT.

Hizo Inchi Mbili (2) ikiwa imesimama au imelala?
 
Ikiwa imesimama,nawashukuru wote ingawa mzazi wake amezidi kuogopa baada ya kuona mpka sasa hamna njia.Hii dunia mmmmh hujafa...........

Mkuu aondoe aibu aende Hospitali nadhani ni Mambo ya Hormones hayo kaka Matabibu wenyewe wanafahamu
 
Wewe tumia mkuyati na mchi bo kunj jaa itakusaidia tatizo lako itaongezeka kadri utumiavyo haina side effect.pia kwa wanawake watumie mchi bo kunj saaya itasaidia kupunguza ukubwa wa K. ni PM niwape namba zangu za simu
 
nafikiri dawa salama ni kujua tu kutumia maumbile yako,lkn hizo nyingine zinaweza kuwa na side effect mbaya zaidi ya tatizo la mwanzo.

Kama vileee???
Kuikaba au....Maana hapo ipo kazi kama maumbile madogo halfu kinu kikubwa nomaa
 
Mh! 20 yrs i guess bado ni mwanafunzi...At that age na mzazi amehusishwa kuwa dogo kamtarimbo kake ni kaduchu..Provided ana-erect hayo mengine ya size ni akili yake tu. Hivyo ndivyo alivyojaliwa na mungu asipoteze muda kutafuta mbinu za kuongeza anaweza kujilaumu maisha yake yote.

Atafute style tu zitakazoweza kumfanya na huyo girl friend wake apate usikivu e.g to be on top of him etc...
 
lol, pole sana ndugu! approx 2 inches! that means is even less than that! sipati picha akiwa hajasimamisha! inawezekana ni 1/2 cm!

kumbe anakimbiwa na visichana! afadhari kwani angekutana na machangu angepigwa 'vibao' kabisaaaa!

Kuridhisha uwepo upo ila inatakiwa awe mtundu! Lol, 2 inches?? Duniani kuna maajabu!

Mwambie ajaribu za kichina, nasikia kuna jamaa alitumia ngoma ikaumuka mpaka kilo 10!

Kama vipi akeshe na kuomba! Itakuwa, 20 yrs old bado kijana anakua tu!

Ikishindikana afanye 'jelqin', itasaidia kuongeza 1-2 inches!

Mwambie asijaribu plastic surgery kwani mtarimbo utameguka kama pua ya wacko jacko (MJ)!

Wewe mtoto acha kabisa yaani umeshaanza tendo la ndoa???????? Siamini hivi unafatilia vitabu vya dini zote havikatazi tena unaweka wazi eti unataka ukubwa ahhha!!! njoo kanisani tukuombee una pepo mmbaya wewe
 
Wewe mtoto acha kabisa yaani umeshaanza tendo la ndoa???????? Siamini hivi unafatilia vitabu vya dini zote havikatazi tena unaweka wazi eti unataka ukubwa ahhha!!! njoo kanisani tukuombee una pepo mmbaya wewe


Acha mambo ya kizamani, badala ya kusaidia unaongea pumba! Wewe mwenyewe ulianza ngono ukiwa una miaka 30?

Binafsi namshauri dogo, atulizane na aendelee kuwagonga hivyo hivyo tu, ila uoga wangu ni pale atakapo fikisha miaka 30 mtarimbo utaanza kupungua! Naambiwa kwa kawaida binadamu akisha fikisha miaka 30 viungo vyake karibia vyote vinaanza kupungua ukubwa!!

Pia anaweza kutumia vidole, na hata mboo ya bandia, akishakamua na kamtarimbo kake, akimaliza anachukua ya bandia anaanza kumfurahisha msichana wake mpaka atakapo rizika!!

Tatu, kama hajatailiwa asijaribu kabisa kutailiwa ndo kamboo katapotea kabisaaaaa!!
 
hakuna kitu kinaitwa uume mfupi wala uke mkubwa.

Mashaka yangu makubwa ni kuwa muda wake wa kutarazi bado sana.

Nini anataka?: Ukimwi au mapenzi? Mimi nadhani kama wengine na si kudhani ni sawia, aende shule kwanza afanye mambo yake. Kisha atajifunza kutumia nchi mbili. Utamu wa mwanamke hauko ndani, ninamna ambavyo unaweza kucheza na kiamsha nyege na kukituliza. Ndio kusema kama umepewa mahindi ya kukoboa au mtama au ngano na mchi wako unaujua na si suala la kujifunza papo hapo unaweza kufanya mtu akakutafuta.

Kwani mapenzi ni mchanganyiko si kina kirefu cha kinu. Labda bwana mdogo alishajifia kwenda shule na anataka maisha ya wawili then ni lazima ajifunze kutwanga kwa kutumia mchi alionao. Naam mtwangaji ndiye anayejua namna ya kukoboa mahindi, mtama au ngano. Anajua mahindi au ngano kavu anatia maji kiasi gani na anapelekaje hicho kitu, kati pembeni na namna ya kuchanganya.

Vinginevyo dawa ziwe za kienyeji au za kichinachina au zakijep au za kithungu(operesheni) hazina maana. Mwenye maana ni wewe mwenyewe na maarifa yako ndani ya inchi mbili kwani bado ni kubwa tu na ilimradi inafanya penetration na inaweza kusugua vinavyotakiwa kusuguliwa
 
Jamani. Hicho ni kilema kama kilema kingine. kuna waliozaliwa na miguu mifupi lakini sijawahi kusikia mtu anatafuta dawa ya kurefusha mguu!! I dont believe kama unaweza kupata tiba ya kubadili maumbile yake. reffer to the recent case of the guy with 10kg penis!!
Otherwise kama kuna mtu alishawahi au anrafiki wa karibu aliyefanikiwa kubadili size akafanikiwa atujuze tafadhali. hata mimi ningepanda iongezeke kidoogo. thi biger the... the more the Enjoyment. tehe tehe
 
Jamani. Hicho ni kilema kama kilema kingine. kuna waliozaliwa na miguu mifupi lakini sijawahi kusikia mtu anatafuta dawa ya kurefusha mguu!! I dont believe kama unaweza kupata tiba ya kubadili maumbile yake. reffer to the recent case of the guy with 10kg penis!!
Otherwise kama kuna mtu alishawahi au anrafiki wa karibu aliyefanikiwa kubadili size akafanikiwa atujuze tafadhali. hata mimi ningepanda iongezeke kidoogo. thi biger the... the more the Enjoyment. tehe tehe

Yupo jamaa yangu alikuwa na tatizo kama hilo,
akawaona wataalamu wa kienyeji, wakampa dawa zao za kumeza
na baada ya wiki chache mabadiliko yakaonekana.
Jamaa tunamtania tunamwita 'TANGO'.
Hata wewe mkuu kama upo serious nikuelekeze pa kwenda.
Ila naskia ukikosea dozi itakuwa balaa kwani ukubwa unakuwa mara dufu hadi kero.
 
Yupo jamaa yangu alikuwa na tatizo kama hilo,
akawaona wataalamu wa kienyeji, wakampa dawa zao za kumeza
na baada ya wiki chache mabadiliko yakaonekana.
Jamaa tunamtania tunamwita 'TANGO'.
Hata wewe mkuu kama upo serious nikuelekeze pa kwenda.
Ila naskia ukikosea dozi itakuwa balaa kwani ukubwa unakuwa mara dufu hadi kero.

Shida yangu hapo kwenye red tu mkuu!! ndo maana nasema kazi ya Mungu haina makosa.
 
hapa tatizo la ukimwi jamaa kajitoa - mi naona avumilie tu mungu kamwepusha zahma hili.
 
dawa za kichina zipo, ila afuate masharti bila hivyo anaweza kupata tatizo la kuongezeka ukubwa na Uzito wa kufikia kilo Tisa.

ila kunajamaa alitumia dawa za kienyeji bahati mbaya UUME ukawa mrefu kiasi cha nnchi saba, shida ikawa dubwana halikua na nguvu hata kidogo, aliporudi kwa mganga, akaambiwa na mganga yule kuwa yeye ni mtaaalamu wa kukuza ukubwa ns urefu maswala ya nguvu aende kwa mtaalamu mwingine.
 
Back
Top Bottom