Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

Kwa wanaoitaj dawa za NGUVU za kiume .kukuza UUME NA kunenepesha uume..kukuza hips na makalio shape.. Ugumba uzazi.. Wasiliana na Dr Kalyundu 0743158800..toka tanga
 
Kwa wanaoitaj dawa za NGUVU za kiume .kukuza UUME NA kunenepesha uume..kukuza hips na makalio shape.. Ugumba uzazi.. Wasiliana na Dr Kalyundu 0743158800..toka tanga
usipotoshe watu, utawaua bure, hivi kwanini wachina ambao wanatengenezza dawa hizo wao hawatumii wakati hawana makalio wala matiti wala uume mkubwa. hiyo ni ishara kuwa dawa hizo sio salama kwa watu wetu
 
Wengi matatizo ya Umme kushindwa kukua na Kuwa katika Hali Nzuri.imesababishwa na Kujichua sana (Punyeto) inaharibu mfumo Mzima Wa mishipa ya Damu wa kwenye Manhood.Wengine Wenye matatizo us Figo.haha mm imeshanikuta..tiba Zipo Hila sio Uongeza mana mazara yake Uzeeni..Tatizo lengine Ainafamika ausifahamu ni Umri Gani MwishO Uume kukua..Vibamia Hivi Hapana Wanaume wanakosa Confidence Kwa 7bu Wanawake Ndo Wana wazihaki Wanaume Wao
 
SIJUI NDO ALBAT SODA HIYO. INAFANYA KAZI VIZUR SANA..USIKU KBLA UJALALA OSHA NA MAJI YA MOTO ZAKARI YAKO KWA DAKIKA KM 5 THEN PAKA HAYO MAFUTA KWA WEEK 2 HIVI.MUNGU ATAKUSAIDIA.HILA WENGI TUKUMBUKE MATATIZO HAYA YALITUKUMBUKA KWAN VIJANA WENGI WALITUMIA MASTURBATION
 
@dawayamafisadi Pole sana kwa kuwa na uume mdogo na kupreeze kwa haraka. mmi nitakusaidia kwa hapo chini.

@Matope Asante sana Mkuu Kwanza kabisa kuhusu Tatizo la kuwa uume ni mdogo kwa sisi wanaume ni maumbile ya mtu sio tatizo kabisa tatizo ni kuwa je huo uume wako mdogo unaweza juwa namna ya kuutumia

ukutanapo na mwanamke? Unaweza kuwa na uume mkubwa lakini ukawa hujuwi naman ya kuutumia au ukawa hauna nguvu kila ukutanapo na mpenzi wako wakati mwengine unakuwa unamuumiza na huo uume wako mkubwa kwa sababu

wengi wa wanawake hawapendi wanaume kuwa na uume mkubwa kwa sababu unawaumiza sehemu za siri. Ukitaka kuwa na Uume Mkubwa mimi ninakushauri nenda kwa Wauza Dawa wa Kimasai popote pale walipo watakupatia dawa

za za kuongeza Uume kuwa Mkubwa ikiwa wewe upo hapo Mjini Dar basi kawatafute watakupatia dawa zao ni za kweli tena Uume wako utakuwa Mkubwa kwa kiasi utakacho wewe. Kuhusu kuwahi kumwaga kwa wakati wa tendo la mapenzi hiyo

inatokea kwa kila Mwanamme haswa ikiwa ndio unafanya tendo la mapenzi kwa safari ya kwanza yaani goli la kwanza ,la kama hata safari ya pili unakuwa unawahi kumwaga mapema nakupa dawa yangu hii tumia kwa muda wa siku kama 20 kisha kakutane na huyo unaye mpenda utachelewa kuwahi mapema dawa yenyewe ni hii hapa .


Namna kujitibu maradhi ya kuwahi kushusha manii haraka wakati la tendo la ndoa na bila kujitibu wanaathirika wote khususan mwanamke.

Madawa yake ni:

1.Tangawizi.
2.Uwatu.
3.Asali.
4.Mdalasini.

Chukua unga wa tangawizi kiasi cha vijiko vitatu vya chakula kisha changanya na dawa iitwayo uwatu unga wake kiasi cha vijiko vitatu vya chakula, na hakikisha madawa haya ni ya unga yaani yatwange hadi yawe unga kisha chemsha kwa maji glasi tatu baada ya

kuchemsha hakikisha glasi moja inapotea kwa kuchemsha, halafu mgonjwa wa tatizo hilo atakuwa akijipaka kwenye dhakari yake na

kwenye korodani kila siku mara moja na wakati anatumia dawa hiyo itamlazimika atumie asali kijiko kimoja cha chakula na mdalasini kijiko kimoja cha chai kila usiku anakula dawa hiyo mara moja kwa siku muda wa siku kumi natano au ishirini Inshaallah atapona. Utumia na ukisha maliza tumia nipe FeedBack.

Naka kama unataka Dawa ya nguvu ya kiume hebu Tembelea Thread yangu hii hapa bonyeza hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html
Hii dawa haiharibiki ukiichemsha na kupaka kwa siku hizo 20?
 
Back
Top Bottom