Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume na kupata uzazi kwa wanawake pigeni hijama aka chuku

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
KUPIGA HIJAMA.jpg

HIJAMAH/ BLOOD CUPPING/ CHUKU AU KUUMIKA:

Kuna faida nyingi sana za kupiga chuku au kuondoa damu chafu mwilini. Hijama/ chuku hutibu maradhi mengi ndani ya mwili wa binadamu kama vile kuondosha maumivu ndani ya mwili, maumivu ya miguu, mishipa, maumivu ya kichwa ya muda mrefu, kiuno, mgongo, mabega, shingo. Husafisha damu kwa kutoa sumu ndani ya damu ya mwanadamu, hutibu maradhi sugu yanayoenea katika damu, huwasaidia pia wenye matatizo ya pumu/asthma, huwasaidia pia waliosibiwa na matatizo ya uchawi na majini, huboresha mzunguko wa damu mwilini, huimarisha kumbukumbu, huboresha mfumo mzima wa uzazi kwa wanawake na wanaume huongeza nguvu za kiume, hutibu tatizo la mfumo wa usagaji wa chakula, matatizo ya ngozi,matatizo ya macho, moyo, kung'oka kwa nywele, mzio/allergy, gout, kiharusi/stroke na matatizo mengine mengi tu....
Kwa ujumla Hijama ina faida nyingi sana kwa binadamu......
Jitahidi na wewe hata kwa mwaka angalau mara tatu au nne na utaona faida yake
 
View attachment 404612

Kuumikwa imenikumbusha Mzee mmoja alikuwa anaitoa hii huduma, lakini pia hapo kwake walikuwaga wanapigisha madogore na kuwapunga watu mashetani
 
Back
Top Bottom