DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 979
- 180
Baada ya kuwachabo kwa muda mrefu,hatimae nami nimeingia kibahatibahati tu... Naomba bandugu mnifungulie mlango!
Baada ya kuwachabo kwa muda mrefu,hatimae nami nimeingia kibahatibahati tu... Naomba bandugu mnifungulie mlango!
...ahsante mkuu young master !karibu. Ingia hadi ndani mlango uko wazi.
Pitia hii kitu ni muhumu sana JamiiForums Disclaimer and Rules
.... King Kong III bhana !!! NgomaKaribu JF,Kwenye sikio kuna NGOMA ni nomaaaa NGOMA vp dawa yako inatibu ngoma?
Baada ya kuwachabo kwa muda mrefu,hatimae nami nimeingia kibahatibahati tu... Naomba bandugu mnifungulie mlango!
.... King Kong III bhana !!! Ngoma
noma eti,bila ngoma hilo sikio lako haliwezi kusikia !!! So ngoma ikiumwa nami naipa dawa inapona,na inaendelea kusumbua wale wasiosikia !
.... Ahsante mkuu,nimeshaanza orientation. Nashangaa shangaa tu. Macho yamenitoka kama fundi saa kapoteza nati!!karibu sana mkuu.
Karibu JF
Utafaidi njomba.
Karibu sana jamvini..