Dawa ya sikio nami nimekujaaaa!

DAWA YA SIKIO

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
979
180
Baada ya kuwachabo kwa muda mrefu,hatimae nami nimeingia kibahatibahati tu... Naomba bandugu mnifungulie mlango!
 
Karibu JF,Kwenye sikio kuna NGOMA ni nomaaaa NGOMA vp dawa yako inatibu ngoma?
.... King Kong III bhana !!! Ngoma
noma eti,bila ngoma hilo sikio lako haliwezi kusikia !!! So ngoma ikiumwa nami naipa dawa inapona,na inaendelea kusumbua wale wasiosikia !
 
.... King Kong III bhana !!! Ngoma
noma eti,bila ngoma hilo sikio lako haliwezi kusikia !!! So ngoma ikiumwa nami naipa dawa inapona,na inaendelea kusumbua wale wasiosikia !

Haaaaaaaa mkuu dawa ya sikio ni mtaalamu wa fasihi kweli. "NGOMA NOMAAA"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom