Dawa ya sheria mpya ya NSSF ni kujidai umekufa

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
hawa jamaa si wanataka kuhodhi hela sio zao.dawa yao unasingizia kufa kama umeachishwa kazi na mrithi wife anavuta hela tuone na ujanja wao wa kudhulumu utafikia wapi. mwaga mboga mwaga mchele tuone sasa
 
Dawa ni kutoa mawazo na ushauri wa namna bora wa kuboresha mfumo huo, lakini kuweka mbinu za wizi zitasaidia kitu gani pale itakapobainika kuwa mhusika hajakufa.
 
kinachonishangaza zaidi ni hawa wabunge wetu kupitisha sheria kama hii
 
Back
Top Bottom