MKATA KIU unayosema ni sahihi ila yanastahili investment nyingine ambayo serikali inatakiwa kuwekeza. Ili kuwawekea watu wenye magari mazingira magumu ya kuingia mjini na magari, unapaswa uhakikishe kwamba usafiri wa public una hadhi ya kumfanya mtu avae suti yake na kuutumia. Sasa sina uhakika kama hili limefanyika, vinginevyo itakuwa ni kama kumlazimisha punda anywe maji wakati hujampa majani ii apate kiuKwa maoni yangu mimi ni train ziwe kila upande wa dar es salaam..
Na then serikali iongeze bei ya ku park gari mjini mfano sh 5000 kwa saa na iwe strict kweli kweli uone watu wangapi wataenda na magari binafsi mjini....