Dawa ya Bawasili

Skull App

Member
Jul 7, 2018
47
56
Habari!

Leo nimeona niwasaidie kuwatajia dawa ya asili ya Bawasili ya uhakika, nimewahi kuwasaidia wagonjwa wengi tatizo la Bawasili na wakapona.


DAWA
1. Mizizi ya mmea unaoitwa 9 disemba (unavyoitwa huku Pwani)
2.Mizizi ya miti ya mifenesi.

MATUMIZI
1. Kata vipande vidogo vidogo vya mzizi wa mfenesi (vipande viwe kwenye IDADI ya witiri ila kisiwe 1) Kisha changanya na mizizi ya 9 disemba pamoja na maji

2. Chemsha mchanganyiko wa vipande vya mfenesi + 9 disemba + maji

3. Tumia Kwa kunywa ujazo wa kikombe Cha chai na kupaka sehemu iliyo athirika mpaka utakapona.


NB: Ukifanikiwa kupona Usisahau kunipa shukrani.


Nimepost picha ya mti wa 9 disemba
 

Attachments

  • IMG_20240313_121031.jpg
    IMG_20240313_121031.jpg
    3.5 MB · Views: 9
Dawa yangu ya bawasir ni ya kupaka kupona ni uhakika piga simu 0712505049 unihoji ujiridhishe
 
Back
Top Bottom