Dawa nzuri ya mtu anaetembea na mke wa mtu ni ipi?

Ni ngoma ya dogo aslay ..Pusha..haswahaswa ule mstari wa kugawana majengo ya serikali..yeye aende mochuari Na wew keko
 
DAWA NI MOJA TUU BRO! Hii hapa
fcb2e61836a77229b2152f85e886a170.jpg

Nunua super glue dazeni 1, kisha mimina vizuri kwenye kibomba chake (mashine), subiria kama dk 5 halafu bila ya hiyana mruhusu aende.

Kama una muda wa kutosha unaweza kuweka na sehemu nyinezo unazoona zinafaa.

Naandika kwa uchungu saaana, Naona kama naibiwa mimi.
Mungu wangu! Huu ni unyama sasa...
 
Haya mambo ya wake za watu siyo kabisaaa. Sitokuja sahau jamaa alipoapa lazima aniue.
 
Hasira bila ushauri siku zote ni matatizo, na matatizo mda mwingine hupelekea mtu kubadili mfumo wake wa maisha.

Sipendi mfumo wangu niubadili ndio maana naomba ushauri. Dawa nzuri ni ipi kwa mtu anaetoka kimapenzi na mke wa mtu?
Dawa nzuri ni Kumuacha huyo Mwanamke tu na wala usigombane na huyoi Mwanaume. Jaribu kufikiria Maswali ya fuatayo.

Mke wako anatumiwa ujumbe kuwa leo wakafanya hiyo sex, anaoga , anavaa nguo anaanza safari mpaka huko walikokubaliana kukutana bado utamaluamu huyo Mwanaume.
Mke anatoka huko alikotoka hakwambii alichokifanya , wala hasikitiki, wala haumii , wala hakushirikishi kitu chochote na bado kesho na kesho na kesho kutwa anaendelea bado utaendelea kumlaumu huyo Mwanaume .. Kweli?

Nakushauri Dawa Pekee ni kumuacha huyo Mwanamke kwa kuwa ndiye aliyekukosea heshima kwa kuwa ni mtu unayeishi naye na ameweza kufanya hayo Jiulize ni mangapia ambayo ameyafanya zaidi ya hilo?

Nakushauri na Tena nawashauri Wanaume wote ambao wanachapiwa wanawake zao Dawa Pekee ni aidha kukubali Mwanamke aendeelee au Kuamuacha Basi, Ila Upumbavu ni pale utakapo enda kugombana na Mwanaume Mwenzio.
 
Hasira bila ushauri siku zote ni matatizo, na matatizo mda mwingine hupelekea mtu kubadili mfumo wake wa maisha.

Sipendi mfumo wangu niubadili ndio maana naomba ushauri. Dawa nzuri ni ipi kwa mtu anaetoka kimapenzi na mke wa mtu?
Na nikimuacha sitakaa nio mwanamke daima
 
DAWA NI MOJA TUU BRO! Hii hapa
fcb2e61836a77229b2152f85e886a170.jpg

Nunua super glue dazeni 1, kisha mimina vizuri kwenye kibomba chake, subiria kama dk 5 halafu bila ya hiyana mruhusu aende.

Kama una muda wa kutosha unaweza kuweka na sehemu nyinezo unazoona zinafaa.

Naandika kwa uchungu saaana, Naona kama naibiwa mimi.
 
Mi sijui nitamfanyaje ila nna wasiwasi tutabadilishana majengo ya serikali tu na kwa vile mzee wa magogoni kakataa kupitisha ile adhabu basi itakuwa safi salama tu.
Sasa mkuu ukienda jela jamaa atapona na ataendelea kama kawa au mwingine ataendelea kupiga tuu tena mkeo atakuwa free zaidi kuliwa
 
Wala usimuache mkeo .....juc let them know kama umejua afu unakaa kimya tuuu!!!
Am sure mkeo hatorudia vitu vingne sio lazima mpaka utumie nguvu
 
Hasira bila ushauri siku zote ni matatizo, na matatizo mda mwingine hupelekea mtu kubadili mfumo wake wa maisha.

Sipendi mfumo wangu niubadili ndio maana naomba ushauri. Dawa nzuri ni ipi kwa mtu anaetoka kimapenzi na mke wa mtu?
Nissani nyeupe
 
Ameomba ushauri sisi tunamdhihaki
Ukweli mke anauma ndio sababu mimi mwanamke nikishajua ni mke wa mtu hata kikojoleo hakisimami tena... sbabu huwa nafikiri maumivu notayopitia nikisikia wangu anakatwa...
Adhabu inayofaa kwa mtu anaetoka na mke wangu ni kumtanguliza mbele tu iwe kwa uchawi iwe kwa kutuma wasiojulikana yaani kwa njia yoyote ile lazima atangulia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja hasa akiwa anajua kuwa anayetembea naye ni mke wa mtu!
 
Hasira bila ushauri siku zote ni matatizo, na matatizo mda mwingine hupelekea mtu kubadili mfumo wake wa maisha.

Sipendi mfumo wangu niubadili ndio maana naomba ushauri. Dawa nzuri ni ipi kwa mtu anaetoka kimapenzi na mke wa mtu?

Tafuta hela ya kula tafuta Lodge nzuri nenda huko lala week. Aga kama unaenda sehemu utarudi baada ya siku 2. Halafu ukiwa huko mwambie nipigie mwisho saa 12 na kuanzia saa nne asubuhi. Huko tafakari, oga sana, kula matunda, fanya mazoezi, sali sana!
Utajua ufanyeje. Siku ya mwisho mpigie kiurafiki mwambie mke wangu nini shida?? Mzungumze ikiwezekana rekebisheni.
 
Hasira bila ushauri siku zote ni matatizo, na matatizo mda mwingine hupelekea mtu kubadili mfumo wake wa maisha.

Sipendi mfumo wangu niubadili ndio maana naomba ushauri. Dawa nzuri ni ipi kwa mtu anaetoka kimapenzi na mke wa mtu?
Mwachie huyo mke kwsbb hajamlazimisha ukiona mwanamke mke wa mtu mwenye ndoa au mchumba ujue hapo hakuna tena upendo
Kifupi wewe mwachie mke tafuta mwingine
Huyo jamaa hajambaka alimtongoza akapa kama wewe ulivyomyongoza ukamuoa
JIONGEZE
 
Ameomba ushauri sisi tunamdhihaki
Ukweli mke anauma ndio sababu mimi mwanamke nikishajua ni mke wa mtu hata kikojoleo hakisimami tena... sbabu huwa nafikiri maumivu notayopitia nikisikia wangu anakatwa...
Adhabu inayofaa kwa mtu anaetoka na mke wangu ni kumtanguliza mbele tu iwe kwa uchawi iwe kwa kutuma wasiojulikana yaani kwa njia yoyote ile lazima atangulia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui una andika nini kama mtu katongozwa akakubali pambana na huyo alietongozwa akakubali sasa utagombana na wangapi mwanamke malaya ni malaya tuuu
Au nunua kofuli uifunge ubaki na funguo acha kuweweseka huwezi zuia mwanamke dawa mpe talaka
 
Kwani ikiliwa yaisha? Akirudi nawe si wala? Uliwahi kumkuta akiliwa au hisia tuu? Kama una uhakika mshauri akiliwa atumie kondomu asikuambukize magonjwa tuu
 
Back
Top Bottom