Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,525
- 6,470
wakuu, heri ya sikukuu ya krismass na mwakampya
Hii huenda sio tu kwa mke wangu, huenda wake za wanaume wengine humu wanamahusiano na marafiki zao wa kike ambao ni wabaya wanawashauri hovyo juu ya ndoa zao, huwatafutia michepuko na huwasambazia umbea na majungu dhidi ya wanaume zao
Mke wangu amekuwa na marafiki zake ambao wanampoteza naweza kusema hivyo, kwani wanamjaza maneno ya uongo juu yangu kwamba ninamichepuko mingi, wanampa technic za kunikamata na kumshauri achepuke eti tu kunikomesha na kulipiza kisasi
Sasa dawa yao ni hii, hawa rafiki zake wako wawili na wote nimeshawatongoza na kuwala
wakwanza na mwenye mdomo sana alinaswa kizembe tu, nilimnunulia mke wangu gauni basi na yeye nikamnunulia tena kwa siri wote mke wangu asijue, baada ya siku mbili akavua chupi mwenyewe akanitunuku
huyo wapili nilipiga sound tu nikapiga
baada ya kula wote watatu wakafarakana na ushoga wao ukaisha! sasa nimetulia vizuri na mke wangu ndoa inaenda vizuri hakuna maneno chonganishi wala umbea toka kwa marafiki hao wabaya kwa mke wangu
Ewe mwanaume, ili kukomesha marafiki wabaya wa mkeo dawa ni MTONGOZO tu na kula papuchi zao