HATA ANGERUDI ccm, ASINGEWASAIDIA, MAANA NCCR MAGEUZI ITAMPA CHEO SASA HIVI, HAWAJAJIVUNZA TOKA ZAMA ZA KINA MREMA, wao wanapokea pokea hata watu wenye skendo za kuvujisha siri za Chama huko watokapo. by the way NCCR Ni chama NGO, hawana lengo la kushika dola, na ndio maana sasa hivi hawagombei chaguzi zote ndogondogo.
Mbona Lwakatale alivunjisha za Cuf wakampokea chadema?? Na Slaa naye alivunjisha za ccm wakampokea chadema. Humu bwanaa aha hahaha