DARUSO wapanga kupitisha mgomo rasmi UDSM

Baada muhamasishane kusoma nyie mnahamasishana kwenye migomo.

Waacheni wazazi waje kuwatoa. Wao wametumwa kusoma, wanaanzisha migomo.

Hivi hili jitu lina mtindio wa ubongo au? Mweh!
 
Ingieni barabarani mkidai haki yenu why mnyimwe kodi zenu,kuwenu na umoja na mpambane mpaka mwisho.
 
....haya madogo ya vyuo vikuu vya siku hizi yanakera sanasana. Yamekuwa masomi ya maandishi,yaani elimu na usomi wao huishia kuwafanya wawe wasomi-bookish badala ya kuwa wasomi-informed. Shiiit...mizembe mpaka inakera. WENZAO WAKO SERO YAO YENYEWE YAPOYAPO TU....ingekuwa enzi zetu tayari pangekuwa PAMECHIMBIKA!!
 
We ni mzee ila huna busara,unadhan hao wanafunz watasomaje?kama issue ni mkopo ada itatokaje,what i knw NO PESA NO REGISTRATION!ndo tulivyos0ma!sasa wewe mwenzetu ulisomaje?
Baada muhamasishane kusoma nyie mnahamasishana kwenye migomo.

Waacheni wazazi waje kuwatoa. Wao wametumwa kusoma, wanaanzisha migomo.
 
Back
Top Bottom