DARUSO wapanga kupitisha mgomo rasmi UDSM

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Baada ya kuchezewa dana dana katika ishu ya dhamana ya wanafunzi 53 wakiwemo wadada 16 DARUSO WAMEPANGA KUGOMA
 
Mpaka leo hawajagoma tu!!! Siku hizi wamekuwa wapole kiasi hicho. hebu waingie haraka barabarani hao wenzao wasije wakajiona wametelekezwa.
 
huwa nawaonea huruma sana POLISI wa tanzania ambao wengi wao ni wale waliofeli darasani, namshukuru mungu sina ndugu wala mzazi polisi, baadhi ya polisi wa tanzania hasa FFU ni kama wamelaaniwa
 
katika wanafunzi 53 wametoka 9 tu jaman this nt gud

Ukiona hivyo pesa inatakiwa itembee!! Mi nilishawahi kukamatwa natoka Tuition, tena na daftari zangu, nilala kesho yake naambiwa nilipe 10000 ni vioja kwenda mbele polisi wetu. Hatuna polisi tanzania, tuna genge fulani linatumia jina la polisi kutuharibia jamii zetu.
 
DARUSO ya sasa ni manyanya tuu wenzao ni zaidi ya masaa 48 wao wanalala tuu
 
Wadogo zetu siku hizi mmekinajisi chuo chetu hiki,mnapenda sana kujiona na kushindana badala ya kutumia mda wenu kujadili matatizo yenu na ya wenzenu na kuyatafutia ufumbuzi...haiwezekani wenzenu wako korokoroni alafu nyinyi mnajifanya busy na shule then mnajiita wasomi,usomi gani huu mavi,sasa kama hamuwezi kuwafia wenzenu tutawaamini kweli kwamba mnaweza kushinikiza hadi tupate katiba mpya?

Nshawaambia na narudia kusema,kusoma na kuelimika ni zaidi ya kusoma vitabu
 
imebaki ridhiwani na wadogo zake waandamane ndo JK ajue kimenuka?UDSM kuna siasa chafu ndo maana viongozi wake hupatikana kwa mizengwe...mara GPA ndogo ati ana mkono wa chama .....mara wanaharakati feki....solidarity forever unganeni mkomboe wenzenu serikali haina maskio tena.mabomu hayatoshi tena huo msitu unafaa sana kwa vita na ffu lazma wavunjike wenyewe
 
Wadogo zetu siku hizi mmekinajisi chuo chetu hiki,mnapenda sana kujiona na kushindana badala ya kutumia mda wenu kujadili matatizo yenu na ya wenzenu na kuyatafutia ufumbuzi...haiwezekani wenzenu wako korokoroni alafu nyinyi mnajifanya busy na shule then mnajiita wasomi,usomi gani huu mavi,sasa kama hamuwezi kuwafia wenzenu tutawaamini kweli kwamba mnaweza kushinikiza hadi tupate katiba mpya?

Nshawaambia na narudia kusema,kusoma na kuelimika ni zaidi ya kusoma vitabu

Haya madogo yanaaribu chuo chetu
Haiwezekani wenzako wako sero wewe upo unadunda na vitabu

Shiiiiiiiiiittttt agrrrrrrrrrrrrrrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
huwa nawaonea huruma sana POLISI wa tanzania ambao wengi wao ni wale waliofeli darasani, namshukuru mungu sina ndugu wala mzazi polisi, baadhi ya polisi wa tanzania hasa FFU ni kama wamelaaniwa

Kwani ujui kama wanafanyaga kazi nyingine wakiitwwa
 
Madogo yameshakuwa legelege . Too early for u brodas and sistas . Kumkumbukeni "UNITED WE STAND" ebo?
 
Baada muhamasishane kusoma nyie mnahamasishana kwenye migomo.

Waacheni wazazi waje kuwatoa. Wao wametumwa kusoma, wanaanzisha migomo.
 
Baada muhamasishane kusoma nyie mnahamasishana kwenye migomo.

Waacheni wazazi waje kuwatoa. Wao wametumwa kusoma, wanaanzisha migomo.

M****E wewe, yaani wazazi waje kutoka mbali wakati vijana wapo?. nna wasiwasi na wewe ni polisi
 
M****E wewe, yaani wazazi waje kutoka mbali wakati vijana wapo?. nna wasiwasi na wewe ni polisi

Hana u2 huyu na inaonekana kadakia maada hewani hata source ya mgomo hajui,cjui hana mdogowe au nduguye alosoma hapa.Mkuu funguka wewe sisi cyo wajinga kugoma fuatilia the source.B+
 
Back
Top Bottom