Darling The secretary.....

maisha matamu lakini mafupi oohh Bishanga ahera yangoja
inawezekanaje kufanya mapenzi pasipo na subira
uli mwengu wa sasa sii wa kuchezea na kila ukiwaza shida utokea
bora niwe peke yangu baba bora niwe peke yangu
 
najituliza kwake kasuku ee
sitaki maneno sitaki matata ninachotaka ninakipata ooh,kasuku wee Bishanga honey wera a yu tulizana

Maskini Bepari maskini !
Unaibiwa hivihivi! Keshashtuka , umeuza shamba lako la Kiluvya! Ndo anachangamkia tenda !
Shtuka wewe kule migombani sina hakika hata plot kama ushawekeza.
 
Maskini Bepari maskini !
Unaibiwa hivihivi! Keshashtuka , umeuza shamba lako la Kiluvya! Ndo anachangamkia tenda !
Shtuka wewe kule migombani sina hakika hata plot kama ushawekeza.
utakufa na kijiba cha roho mwana hizaya wewe,na nnakwambia hivi wa kupewa kapewa na wastara hazumbuki wa mbili havai moja,utasutwa wewe mtoto wa kiume,boo hujala mchana nini?
 
maisha matamu lakini mafupi oohh Bishanga ahera yangoja
inawezekanaje kufanya mapenzi pasipo na subira
uli mwengu wa sasa sii wa kuchezea na kila ukiwaza shida utokea
bora niwe peke yangu baba bora niwe peke yangu[/QUOTE

acha kuwaza shida baby,bishanga mawazo niliyonayo si namna ya kupata hela bali nizitumieje , ni nyingi mno.
Baby wapi twende wiki ijayo,mumbai au phuket?
 
utakufa na kijiba cha roho mwana hizaya wewe,na nnakwambia hivi wa kupewa kapewa na wastara hazumbuki wa mbili havai moja,utasutwa wewe mtoto wa kiume,boo hujala mchana nini?

Haya maneno yanaashiria "mdororo au msukosuko wa kiuchumi" uliyokukumba!
Btw ndiyo result ya ulivyokua ukichota maji kwenye ndo iliyotoboka!
 
Haya maneno yanaashiria "mdororo au msukosuko wa kiuchumi" uliyokukumba!
Btw ndiyo result ya ulivyokua ukichota maji kwenye ndo iliyotoboka!
hahahaha beibe The secretary embu amka uniandalie stafutahi.Naona Judgement jana kaota ndoto mbaya eti mko kwa sheikh kwa ajili ya kufungishwa ndoa....kwi kwi kwi....
 
Last edited by a moderator:
baby kaandae mwenyewe leo sijisikii poa
Haa! Haa! Haa!
Teh ! Teh !
Acha n'cheke mie nguo zinibane!
Btw ndiyo maana siku zote mi huomba Mungu nisijekumbana na "mdororo wa kipato! "
hembu angalia hapa eti Bepari jitu zima! Jibaba linavyopelekwa jikoni kupika na kuosha vyombo! Ilhali The Katibu yuko kwenye dressin table anaji make up, mishedo milipstick, minini ! n.k
Tumuombeeni dua mwenzetu Bebari kwishney! Meng'emeng'e! Nina wazo la ku' lauche foundation particulary kumhusu !
 
mamndenyi mpenzi la'aziz! Umeonaee! Bepari keshaenda kukopa bank ingine na anafuata mfumo uleule na njia zilezile alotumia mwanzo kujifilisi. Shauri yako bs. Then atakuja kuanza kulialia
mwanaume kuhonga bana!
 
Haa! Haa! Haa!
Teh ! Teh !
Acha n'cheke mie nguo zinibane!
Btw ndiyo maana siku zote mi huomba Mungu nisijekumbana na "mdororo wa kipato! "
hembu angalia hapa eti Bepari jitu zima! Jibaba linavyopelekwa jikoni kupika na kuosha vyombo! Ilhali The Katibu yuko kwenye dressin table anaji make up, mishedo milipstick, minini ! n.k
Tumuombeeni dua mwenzetu Bebari kwishney! Meng'emeng'e! Nina wazo la ku' lauche foundation particulary kumhusu !
jg ya ngoswe mwachie ngoswe,anayonifanyia TS wayajua weye?
 
jg ya ngoswe mwachie ngoswe,anayonifanyia TS wayajua weye?

Wala sina haja ya kuyajua !
Sanasana nikiyajua yatanipeleka motoni !
We yajuwe wewe inatosha.
Unajua binadam hata kama unaenda kumuokoa kifo, yeye hua haelewi na hung'ang'ania deathzone!
Angalia kuna waliofungiwa gate, wakaambiwa sasa Mv Bkb imejaa! Lakini wakapanda magari wakaenda kuitangiza Kemondo bay! Wakapanda !
Mavuno yao ..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom