Darling The secretary.....

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Napenda nipate lau nafasi,
Niweze kusema nawe kidogo,
Ooooh The secretary,
Rohoni naumia.......
La kufanya bado sijaliona,
Huenda roho yako ikadunda,
Iko siku utaja nipoza,
Ooooh mamaaa.......
(Darling,upendo wangu kwako umenikumbusha enzi nakula rumba la Kilwa jazz....i love you,mmmmwwwwaaaa).
Wanga wote wakiongozwa na sukununu .zinduna na wajinyonge!
 
Last edited by a moderator:
Afu bepari mbona "wa mbuzi sana?" ze Katibu muhtasi mbona keshakunanga sana!
Na ameshapata bwn mpya mwenye mihela yake , kitu ambacho hata mi nimekithibitisha.
 
Afu bepari mbona "wa mbuzi sana?" ze Katibu muhtasi mbona keshakunanga sana!
Na ameshapata bwn mpya mwenye mihela yake , kitu ambacho hata mi nimekithibitisha.
hata mi nahisi kuibiwa,ngoja niende kwa fundi makorora,kuna mtu anataka akumbwe na 'erectoral dysnfunction'.
 
Napenda nipate lau nafasi,
Niweze kusema nawe kidogo,
Ooooh The secretary,
Rohoni naumia.......
La kufanya bado sijaliona,
Huenda roho yako ikadunda,
Iko siku utaja nipoza,
Ooooh mamaaa.......
(Darling,upendo wangu kwako umenikumbusha enzi nakula rumba la Kilwa jazz....i love you,mmmmwwwwaaaa).
Wanga wote wakiongozwa na sukununu .zinduna na wajinyonge!
na watajinyonga kweli ujue
 
najituliza kwake kasuku ee
sitaki maneno sitaki matata ninachotaka ninakipata ooh,kasuku wee Bishanga honey wera a yu tulizana
 
najituliza kwake kasuku ee
sitaki maneno sitaki matata ninachotaka ninakipata ooh,kasuku wee Bishanga honey wera a yu tulizana
nachungukia dirishani ooh,
naona ni mvua inanyesha ooh,
nauliza mpenzi The secretary
utarudi lini eh
mawazo yanitoke
nifurahi nawe mpenzi.....
(mbaraka mwinshehe).
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom